Sportpesa waidhamini yanga kwa bilion 21 kwa miaka mitatu

Sportpesa waidhamini yanga kwa bilion 21 kwa miaka mitatu

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
1754930011989.jpg
Yanga wameendelea kudhaminiwa na sport pesa kwa miaka mitatu kwa bilion 21
==============
Klabu ya Yanga Sc leo Jumatatu 11/08/2025 imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7.
 
Kama spoetpesa anatoa bilion 21 kama zawadi yanga bado analipa kodi na analipa wafanyakazi na matangazo , Je yeye anapata ngapi? Kweli tanzania sio masikini😅😆
 
kampeni ya ponjoro na ubunge kwenye kivuri
 
Yanga wako mbali sana
Yetu imejaa makolokocho ya Mwamed
Huyo ni mdhamini mkuu. Tunataka na mdhamini wa jezi GCM aweke mpunga wa maana kama alioweka Jayrutty, sio kutupa sh. 1,300/= kwa jezi
 
Hapa ndipo mahali pekee ninapomkubali Ponjoro wa Kinondoni. Hakika anaibeba sana timu yetu ya Yanga kupitia hii kampuni anayo isimamia. Hongera sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom