Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Unajua leoKama spoetpesa anatoa bilion 21 kama zawadi yanga bado analipa kodi na analipa wafanyakazi na matangazo , Je yeye anapata ngapi? Kweli tanzania sio masikini😅😆
Hakuna kitu hapo. Wamecheza na timing tu. Wenzao kwavile ni 18B wao wameona waongeze iwe 21B kufurahisha mashabiki.Yanga wako mbali sana
Yetu imejaa makolokocho ya Mwamed
Huyo ni mdhamini mkuu. Tunataka na mdhamini wa jezi GCM aweke mpunga wa maana kama alioweka Jayrutty, sio kutupa sh. 1,300/= kwa jeziYanga wako mbali sana
Yetu imejaa makolokocho ya Mwamed