SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Wadhamini wa Yanga hawana imani na timu yao

1676207669233.png
 
Attachments

  • 1676207539648.png
    1676207539648.png
    4.1 KB · Views: 4
Kwaiyo sportpesa ndio wanacheza uwanjani, lazima waipe timu ya nyumbani kipaumbele cha kushinda kwakuwa wanakuwa na home advantage
 
Timu yao? Unakumbuka Jana yule mnyama kachezea kimoja mpaka au basi acha nisiseme sana, wamejifunza hio ni biashara ukimpa Yanga tu umeliwa
 
Acha ujuaji, unadhani Kuna kampuni yoyote ya betting wanatunga odds?? Uliza uelimishwe kijana

Wanachofanya ni kupokea odds na kuziregulate kidogo, au zinapanda na kushuka kutokana na machaguo wateja wao watayoweka(balance the books) ndo maana kampuni zote Duniani zinapishana kidogo tu kwenye odds
 
Hawa hapa Mbet ambao ni wadhamini wa Simba pia walionesha uwezekeno wa Simba S.C kufungwa na Yanga S.C ni mkubwa[emoji116]
Screenshot_20230212-173318.jpg
 
Hawa hapa Mbet ambao ni wadhamini wa Simba pia walionesha uwezekeno wa Simba S.C kufungwa na Yanga S.C ni mkubwa
na kama uliweka hela yako basi uliliwa maana walitoka sare 🤣🤣 🤣 . Si mbaya lakini, uliichangia M-Bet hela ya kuidhamini Simba
 
Acha ujuaji, unadhani Kuna kampuni yoyote ya betting wanatunga odds?? Uliza uelimishwe kijana

Wanachofanya ni kupokea odds na kuziregulate kidogo, au zinapanda na kushuka kutokana na machaguo wateja wao watayoweka(balance the books) ndo maana kampuni zote Duniani zinapishana kidogo tu kwenye odds
Sijakuelewa kabisa boss
 
na kama uliweka hela yako basi uliliwa maana walitoka sare [emoji1787][emoji1787] [emoji1787] . Si mbaya lakini, uliichangia M-Bet hela ya kuidhamini Simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Point Yako hapo kwenye Uzi ni nini mkuu? Mbona umeandika jambo lisilo na mantiki?
 
Japo Horoya ni timu ya hovyo sana ila odds za Jana zilikuwa hivi..[emoji116]
Screenshot_20230212-174000.jpg
 
Japo Horoya ni timu ya hovyo sana ila odds za Jana zilikuwa hivi..[emoji116]
Sawa, lakini ujue hiyo kampuni ya betting sio wadhamini wa Simba. Kumbuka SportPesa ni wadhamini wa Yanga japo wana mgogoro wa udhamini, labda ndio kilichowapa hasira wakaiondolea imani kabisa mbele ya macho ya mashabiki 🤣
 
Acha ujuaji, unadhani Kuna kampuni yoyote ya betting wanatunga odds?? Uliza uelimishwe kijana

Wanachofanya ni kupokea odds na kuziregulate kidogo, au zinapanda na kushuka kutokana na machaguo wateja wao watayoweka(balance the books) ndo maana kampuni zote Duniani zinapishana kidogo tu kwenye odds
Mkuuu hua najiuliza sana kuhusu hii kitu,je hizo odds huwa zinapokelewa kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom