mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Kwaio hapa Mbet wao waliinyima Simba ushindi Kwa sababu gani? Vipi dishi lako limeanza kushakeSawa, lakini ujue hiyo kampuni ya betting sio wadhamini wa Simba. Kumbuka SportPesa ni wadhamini wa Yanga japo wana mgogoro wa udhamini, labda ndio kilichowapa hasira wakaiondolea imani kabisa mbele ya macho ya mashabiki [emoji1787]