SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

Sawa, lakini ujue hiyo kampuni ya betting sio wadhamini wa Simba. Kumbuka SportPesa ni wadhamini wa Yanga japo wana mgogoro wa udhamini, labda ndio kilichowapa hasira wakaiondolea imani kabisa mbele ya macho ya mashabiki [emoji1787]
Kwaio hapa Mbet wao waliinyima Simba ushindi Kwa sababu gani? Vipi dishi lako limeanza kushake
 
Betting odds zinapangwa kwa formula ambayo ina-consider factors nyingi. Ni equation. Hazipangwi kiholela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…