Sports analysis 'box to box '

Sports analysis 'box to box '

1492212953554.jpg
 
Leo jioni saa 16:30 (EAT) kwa wale wapenzi wa Bundesliga kutakua na mechi kati ya Borussia dortmund vs E. frankfurt.

Hii wiki imekua ngumu sana kwa mashabiki na wapenzi wa dortmund kutokana na matokeo waliyoyapata dhidi ya bayern jumamosi iliyopita, Gari la timu kushambuliwa siku ya jumanne iliyopelekea kupata matokeo mabaya kwenye mechi yao ya uefa dhidi ya monaco.

Leo kuna taarifa njema za kurudi kwa marco Reus kwenye kikosi toka majeruhi ambayo yalimpelekea kukosa mechi ikiwepo ile ya bayern na monaco. Durm na Castro nao jana wameonekana wakifanya mazoezi.

majeruhi
dortmund: Bartra, mario gotze, Durm na schurrle
E.frankfurt: Anderson, Regasel, Hasebe, Meier na Medojevic

9df600a998afd601430c6aec7e30723b.jpg

Usiku pia kuanzia saa moja na nusu kutakua na mechi Leverkusen vs Bayern.

kwa wale wanaotumia star times mechi zote zitakua live kwenye chanel ya WORLD FOOTBALL
 
Mechizo mingine kwa weekend hii

Borussia Dortmund Vs Eintracht Frankfurt

FSV Mainz 05 Vs Hertha Berlin

VfL Wolfsburg Vs FC Ingolstadt

FC Augsburg Vs FC Köln

TSG 1899 Hoffenheim Vs Borussia Mönchengladbach

RB Leipzig Vs Sport-Club Freiburg

Bayer 04 Leverkusen Vs FC Bayern München

kesho Jumapili
Werder Bremen Vs Hamburger.

Darmstadt 98 Vs FC Schalke 04
 
Asante kiongozi

Ila Leo naona ushindi tu kwa Dortmund japo mechi haitakuwa nyepesi kivile ila kurudi kwa Reus good newz
 
Niliwahi kuandika kuwa anaye kimbizwa na Spurs kazi anayo ila anayemkimbiza Spurs pia ana kazi...... Spurs yupo vizuri sana labda tu mumuombee injuries. Kumbe ili umfunge Chelsea lazima upitemo(3:4:3) ahahahaha.
bado muda upo na mawazo yako. heshima kwako nimegundua una ubora wa hali ya juu sana katika uandishi, laiti kama hizi page zingelikuwa 30 basi ningelizipitia zote.
vipi una undugu wowote na edo kumwembe
 
Leo jioni saa 16:30 (EAT) kwa wale wapenzi wa Bundesliga kutakua na mechi kati ya Borussia dortmund vs E. frankfurt.

Hii wiki imekua ngumu sana kwa mashabiki na wapenzi wa dortmund kutokana na matokeo waliyoyapata dhidi ya bayern jumamosi iliyopita, Gari la timu kushambuliwa siku ya jumanne iliyopelekea kupata matokeo mabaya kwenye mechi yao ya uefa dhidi ya monaco.

Leo kuna taarifa njema za kurudi kwa marco Reus kwenye kikosi toka majeruhi ambayo yalimpelekea kukosa mechi ikiwepo ile ya bayern na monaco. Durm na Castro nao jana wameonekana wakifanya mazoezi.

majeruhi
dortmund: Bartra, mario gotze, Durm na schurrle
E.frankfurt: Anderson, Regasel, Hasebe, Meier na Medojevic

9df600a998afd601430c6aec7e30723b.jpg

Usiku pia kuanzia saa moja na nusu kutakua na mechi Leverkusen vs Bayern.

kwa wale wanaotumia star times mechi zote zitakua live kwenye chanel ya WORLD FOOTBALL
Nipo nazo leo bampa tu bampa
 
Mechizo mingine kwa weekend hii

Borussia Dortmund Vs Eintracht Frankfurt

FSV Mainz 05 Vs Hertha Berlin

VfL Wolfsburg Vs FC Ingolstadt

FC Augsburg Vs FC Köln

TSG 1899 Hoffenheim Vs Borussia Mönchengladbach

RB Leipzig Vs Sport-Club Freiburg

Bayer 04 Leverkusen Vs FC Bayern München

kesho Jumapili
Werder Bremen Vs Hamburger.

Darmstadt 98 Vs FC Schalke 04
Naomba kujua kirefu cha neno BVB
 
  • Thanks
Reactions: Lee
bado muda upo na mawazo yako. heshima kwako nimegundua una ubora wa hali ya juu sana katika uandishi, laiti kama hizi page zingelikuwa 30 basi ningelizipitia zote.
vipi una undugu wowote na edo kumwembe
Hapana mkuu ...
Ila karibu tuyajenge
 
02bf118033a14fd759832c5ca7566995.jpg
78f22ddb8db3ee1cdb942da120836f32.jpg
3606225a3fe0a39d02ac0c4dd9bc5119.jpg
9a59dbb6463987992b6eb7dd5c17dcb1.jpg
c3f88980c2b64ecfd6f6a24e591e2ed6.jpg

Mpaka sasa Inter anaongoza 2-0 dhidi ya AC Milan 58'
Mkuu alafu nimesahau kukumbushaa ...

Silvio Berlusconi...... Miaka 31 katika umiliki wa AS Milan na kunyanyua makwapa mara 29.... Kuanzia 1986 mpaka 2017 ni umri wa mwanadamu mwenye akili nyingi na uwezo.... Berlusconi ukiachilia mbali kuwa mmiliki namba moja pia ni shabiki namba moja wa AS Milan......

Waziri mkuu huyu wa zamani wa taifa la Italy Na shabiki huyu nambari moja wa AS Milan sasa rasmi ameiachia timu kwa kuwauzia wachina ili heshima ile ya AS Milan irudi kama ilivyokuwa awali.

Katika utawala wa Berlusconi alifanikiwa kuifanya San Siro kuwa machinjioni.... Tuta umisi utawala wako ila pia tutaumis ushabiki wako...... Ntammis Babra Berlusconi pia.
 
Tutegemee new era under Chinese people

Endapo wakipigwa Milan itawapa morali wawekezaji wakisuke upya kikosi maana jinsi wanavyocheza kuna utoto mwingi
 
mechi ya sothampton vs man city natumaini itatupa nafuu sisi wapenzi wa man utd
 
  • Thanks
Reactions: Lee
El madonnina imemalizika ikipelekea kicheko kwa AC Milan baada ya goli la kusawazisha la sekunde ya mwisho ya mchezo

FT Inter 2-2 Milan
 
Back
Top Bottom