Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kiongoziLeo jioni saa 16:30 (EAT) kwa wale wapenzi wa Bundesliga kutakua na mechi kati ya Borussia dortmund vs E. frankfurt.
Hii wiki imekua ngumu sana kwa mashabiki na wapenzi wa dortmund kutokana na matokeo waliyoyapata dhidi ya bayern jumamosi iliyopita, Gari la timu kushambuliwa siku ya jumanne iliyopelekea kupata matokeo mabaya kwenye mechi yao ya uefa dhidi ya monaco.
Leo kuna taarifa njema za kurudi kwa marco Reus kwenye kikosi toka majeruhi ambayo yalimpelekea kukosa mechi ikiwepo ile ya bayern na monaco. Durm na Castro nao jana wameonekana wakifanya mazoezi.
majeruhi
dortmund: Bartra, mario gotze, Durm na schurrle
E.frankfurt: Anderson, Regasel, Hasebe, Meier na Medojevic
![]()
Usiku pia kuanzia saa moja na nusu kutakua na mechi Leverkusen vs Bayern.
kwa wale wanaotumia star times mechi zote zitakua live kwenye chanel ya WORLD FOOTBALL
bado muda upo na mawazo yako. heshima kwako nimegundua una ubora wa hali ya juu sana katika uandishi, laiti kama hizi page zingelikuwa 30 basi ningelizipitia zote.Niliwahi kuandika kuwa anaye kimbizwa na Spurs kazi anayo ila anayemkimbiza Spurs pia ana kazi...... Spurs yupo vizuri sana labda tu mumuombee injuries. Kumbe ili umfunge Chelsea lazima upitemo(3:4:3) ahahahaha.
Nipo nazo leo bampa tu bampaLeo jioni saa 16:30 (EAT) kwa wale wapenzi wa Bundesliga kutakua na mechi kati ya Borussia dortmund vs E. frankfurt.
Hii wiki imekua ngumu sana kwa mashabiki na wapenzi wa dortmund kutokana na matokeo waliyoyapata dhidi ya bayern jumamosi iliyopita, Gari la timu kushambuliwa siku ya jumanne iliyopelekea kupata matokeo mabaya kwenye mechi yao ya uefa dhidi ya monaco.
Leo kuna taarifa njema za kurudi kwa marco Reus kwenye kikosi toka majeruhi ambayo yalimpelekea kukosa mechi ikiwepo ile ya bayern na monaco. Durm na Castro nao jana wameonekana wakifanya mazoezi.
majeruhi
dortmund: Bartra, mario gotze, Durm na schurrle
E.frankfurt: Anderson, Regasel, Hasebe, Meier na Medojevic
![]()
Usiku pia kuanzia saa moja na nusu kutakua na mechi Leverkusen vs Bayern.
kwa wale wanaotumia star times mechi zote zitakua live kwenye chanel ya WORLD FOOTBALL
Naomba kujua kirefu cha neno BVBMechizo mingine kwa weekend hii
Borussia Dortmund Vs Eintracht Frankfurt
FSV Mainz 05 Vs Hertha Berlin
VfL Wolfsburg Vs FC Ingolstadt
FC Augsburg Vs FC Köln
TSG 1899 Hoffenheim Vs Borussia Mönchengladbach
RB Leipzig Vs Sport-Club Freiburg
Bayer 04 Leverkusen Vs FC Bayern München
kesho Jumapili
Werder Bremen Vs Hamburger.
Darmstadt 98 Vs FC Schalke 04
Hapana mkuu ...bado muda upo na mawazo yako. heshima kwako nimegundua una ubora wa hali ya juu sana katika uandishi, laiti kama hizi page zingelikuwa 30 basi ningelizipitia zote.
vipi una undugu wowote na edo kumwembe
Mkuu alafu nimesahau kukumbushaa ...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mpaka sasa Inter anaongoza 2-0 dhidi ya AC Milan 58'
Tutegemee new era under Chinese peopleMkuu alafu nimesahau kukumbushaa ...
Silvio Berlusconi...... Miaka 31 katika umiliki wa AS Milan na kunyanyua makwapa mara 29.... Kuanzia 1986 mpaka 2017 ni umri wa mwanadamu mwenye akili nyingi na uwezo.... Berlusconi ukiachilia mbali kuwa mmiliki namba moja pia ni shabiki namba moja wa AS Milan......
Waziri mkuu huyu wa zamani wa taifa la Italy Na shabiki huyu nambari moja wa AS Milan sasa rasmi ameiachia timu kwa kuwauzia wachina ili heshima ile ya AS Milan irudi kama ilivyokuwa awali.
Katika utawala wa Berlusconi alifanikiwa kuifanya San Siro kuwa machinjioni.... Tuta umisi utawala wako ila pia tutaumis ushabiki wako...... Ntammis Babra Berlusconi pia.
Barcelona alipata sana shidaKweli mkuu Milan enzi zake moto wake weka mbali