The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Walaumu FCC waliofichua ujanja ujanja wa kanjibaiPasipo na shaka kipindi cha redio cha sport arena ya wasafi fm , nikipindi cha hovyo kabisa, makelele mengi, hawabalance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga simba tu.
Trust hurts_LizzoPasipo na shaka kipindi cha redio cha sport arena ya wasafi fm , nikipindi cha hovyo kabisa, makelele mengi, hawabalance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga simba tu.
Mwenye Redio ya kipindi hicho ni shabiki Kindakindaki wa Simba so tuache kuwaonea wanaposema ukweli. Hakika viongozi wetu wa Simba wametugeuza kanyaboya..Serikali imewavua nguo jana na wameonekana ni matapeli.Lesson LearntPasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
Umechelewa kujua..Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
Kubalance story hapa nahisi haujaelewa, hapa wewe umesikia tetesi hivyo kabla haujaenda hewani unawatafuta wa upande mwingine kama kuna ukweli wowote kisha unaipima kama ni habari ama uzushi una achana nayo. Umewahi kusikia habari kama hizo ITV?Kama ishu ni walichokisoma leo yale si maneno yao bali yametoka FCC....Viongozi wa Simba inabidi waje na hoja ya kueleweka maana sisi wote wasikilizaji tu na wale ni wajumbe tu..
Kuhusu kubalance story sijajua kwa upande wako unamaanisha nini au labda lugha inakusumbua....Mtu anasema "NASIKIA wachezaji wamepigana" (zingatia neno nasikia) kisha anampigie simu haji ili a balance kwa kujibu kama tetesi ni za kweli au la...Haji anawaka kutokana na kutokua Proffesional kama Afisa Habari.... wakati ni ishu ya kujibu tu si kweli...unawawakia wanahabari as if wao ndo wameanzisha hizo propaganda ambazo tunajua zinaanzishwa na Yanga.
Acheni watu wafanye Kazi yao ya kufikisha Habari kwa Uhuru iwe michezo siasa au chochote.