redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Jeff bado mchanga sana, Studio akiwepo Maulid kipindi kinachangamka, amejitengenezea mazingira ya kuaminika na watu wenye ushawishi katika Tahasisi mbalimbali, ana vyanzo vingi vya kupata taharifa anajitahidi kuwainua watangazaji wachanga na kuwajengea kujiamini.Haingii hata robo kwa Jeff Lea huyo kimeo
Nikijana mwenye Uthubutu na anajiamini katika kazi yake ndio maana akiiona fursa anahamia kituo kingine.
Mambo ya Usimba na Uyanga yasitufanye tuwe vipofu wa kutokuaona uhalisia wa mambo. Ivi Jeff unaweza ukamwachia studio awe anaendesha kipindi kwa kutangaza pekeyake na kipindi kikachangamka? Jeff anabaki Kama mchambuzi tena mchambuzi mwanafunzi anaye jitahidi, labda baadae anaweza kuwa mtangazaji.
Kitenge sautiyake ina msisitizo Kama Ahmed Lyongo, ana uliza maswali kwa kasi wakati wa mahojiano kama Abdalah majura, ana uwezo wa kutamka majina magumu kwa kirefu na kujiamini Kama Charles Hilal kwa ujumla anamchanyiko mzuri Kama mtangazaji wa kizazi hiki.