Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

Mara waaamuzi, mara timu zinapanga matokeo, mara wapishi wanahujumu, mara meneja anahujumu, mara senzo anahujumu, mara tume ya ushindani Wana hujumu,mara wasafi arena wana hujumu. Bado Kama Mbumbumbu fc hamji tathimin mtaendelea kutupia malalamiko kwa kila mtu na haita wasaidia. Mnatakiwa mkubali kuwajibika kwa makosa yenu na si kusingizia wengine.
Malalamiko fc
 
Kama ishu ni walichokisoma leo yale si maneno yao bali yametoka FCC....Viongozi wa Simba inabidi waje na hoja ya kueleweka maana sisi wote wasikilizaji tu na wale ni wajumbe tu..

Kuhusu kubalance story sijajua kwa upande wako unamaanisha nini au labda lugha inakusumbua....Mtu anasema "NASIKIA wachezaji wamepigana" (zingatia neno nasikia) kisha anampigie simu haji ili a balance kwa kujibu kama tetesi ni za kweli au la...Haji anawaka kutokana na kutokua Proffesional kama Afisa Habari.... wakati ni ishu ya kujibu tu si kweli...unawawakia wanahabari as if wao ndo wameanzisha hizo propaganda ambazo tunajua zinaanzishwa na Yanga.
Acheni watu wafanye Kazi yao ya kufikisha Habari kwa Uhuru iwe michezo siasa au chochote.
Mdau upo sahihi sisi mashabiki tumekuwa na tabia ya Kuendesha mambo kwa mihemko tunapenda team zetu zisifiwe tu zikikosolewa tunaona nongwa.
 
Mikia bwana siku zote hukusema haya ila ni baada ya kuguswa..

Sawa
pancho boy Me Binafsi Ni mshabiki wa Simba kabisa lakini sisi mashabiki tunatatizo la kutopenda team zetu kukosolewa tunapenda kusifiwa tu kama mkulu wale Wasafi media walikuwa wanaijadili statement iliyotolewa na FCC Kama moja ya habari ifike kipindi team na mashabiki zisione kukosolewa Ni dhambi mbona walivyo kuwa wanaikosoa uongozi wa musola na uendeshwaji wa Yanga kipindi kile Cha Yippe sambamba na kuponda usajili wa moringa pamoja yippe sisi mashabiki wa Simba tulifurahi inakuaje tukiguswa sisi tunachukia?
 
Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
Vipindi vya Wasafi vingi ni vya kijinga tu...hawana good content na hata watangazaji wao ambao watu wengi wanawasifia ni kama vile wameokotwa tu kwani hawajuwi lolote. Toka Kitenge alipotoka EFM kwenda kuboresha kipindi cha michezo Wasafi, EFM wako imara zaidi....wana wachambuzi wazuri wanaojuwa kazi yako. Big up to dada Tunu na wenzake....mko juu sana. Maulidi Kitenge hana lolote, sijawahi kumkubali utangazaki wake, mbwembwe nyingi wakati hana lolole.
 
pancho boy Me Binafsi Ni mshabiki wa Simba kabisa lakini sisi mashabiki tunatatizo la kutopenda team zetu kukosolewa tunapenda kusifiwa tu kama mkulu wale Wasafi media walikuwa wanaijadili statement iliyotolewa na FCC Kama moja ya habari ifike kipindi team na mashabiki zisione kukosolewa Ni dhambi mbona walivyo kuwa wanaikosoa uongozi wa musola na uendeshwaji wa Yanga kipindi kile Cha Yippe sambamba na kuponda usajili wa moringa pamoja yippe sisi mashabiki wa Simba tulifurahi inakuaje tukiguswa sisi tunachukia?
Bora wewe umekuwa mkweli..
Jamaa kazi yao ni kuhabarisha tu lakini wajinga wanakasirika hawataki kuguswa.

Bravo
 
EFM wapo vizuri sana. Kitenge sijui huwa anatangaza nn. Halafu anaonyesha hana exposure kubwa ya masuala ya michezo. Anachotembelea ni ule umaarufu aliotoka nao ITV/Radio One, but generally he's really not as competent as he's being promoted.
 
Hujui unacho kiongea, Hakuna mmililiki wa kituo Cha redio ambaye hataki kua na mtangazaji wa kaliba ya kitenge. Kinacho washinda ni maslahi tu. Kitenge Yuko vizuri sana katika soka, hamasa na banding kitenge ana ku offer vituvingi katika habari. Jinalake na ushawishi wake ni mkubwa.
 
Haingii hata robo kwa Jeff Lea huyo kimeo
 
Back
Top Bottom