Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

Malalamiko fc
 
Mikia bwana siku zote hukusema haya ila ni baada ya kuguswa..

Sawa
 
Mdau upo sahihi sisi mashabiki tumekuwa na tabia ya Kuendesha mambo kwa mihemko tunapenda team zetu zisifiwe tu zikikosolewa tunaona nongwa.
 
Mikia bwana siku zote hukusema haya ila ni baada ya kuguswa..

Sawa
pancho boy Me Binafsi Ni mshabiki wa Simba kabisa lakini sisi mashabiki tunatatizo la kutopenda team zetu kukosolewa tunapenda kusifiwa tu kama mkulu wale Wasafi media walikuwa wanaijadili statement iliyotolewa na FCC Kama moja ya habari ifike kipindi team na mashabiki zisione kukosolewa Ni dhambi mbona walivyo kuwa wanaikosoa uongozi wa musola na uendeshwaji wa Yanga kipindi kile Cha Yippe sambamba na kuponda usajili wa moringa pamoja yippe sisi mashabiki wa Simba tulifurahi inakuaje tukiguswa sisi tunachukia?
 
Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinacho jiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
Vipindi vya Wasafi vingi ni vya kijinga tu...hawana good content na hata watangazaji wao ambao watu wengi wanawasifia ni kama vile wameokotwa tu kwani hawajuwi lolote. Toka Kitenge alipotoka EFM kwenda kuboresha kipindi cha michezo Wasafi, EFM wako imara zaidi....wana wachambuzi wazuri wanaojuwa kazi yako. Big up to dada Tunu na wenzake....mko juu sana. Maulidi Kitenge hana lolote, sijawahi kumkubali utangazaki wake, mbwembwe nyingi wakati hana lolole.
 
Bora wewe umekuwa mkweli..
Jamaa kazi yao ni kuhabarisha tu lakini wajinga wanakasirika hawataki kuguswa.

Bravo
 
EFM wapo vizuri sana. Kitenge sijui huwa anatangaza nn. Halafu anaonyesha hana exposure kubwa ya masuala ya michezo. Anachotembelea ni ule umaarufu aliotoka nao ITV/Radio One, but generally he's really not as competent as he's being promoted.
 
EFM wapo vizuri sana. Kitenge sijui huwa anatangaza nn. Halafu anaonyesha hana exposure kubwa ya masuala ya michezo. Anachotembelea ni ule umaarufu aliotoka nao ITV/Radio One, but generally he's really not as competent as he's being promoted.
Hujui unacho kiongea, Hakuna mmililiki wa kituo Cha redio ambaye hataki kua na mtangazaji wa kaliba ya kitenge. Kinacho washinda ni maslahi tu. Kitenge Yuko vizuri sana katika soka, hamasa na banding kitenge ana ku offer vituvingi katika habari. Jinalake na ushawishi wake ni mkubwa.
 
Haingii hata robo kwa Jeff Lea huyo kimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…