Duh!hata kumwish birthday mwenzao inakuuma?Wewe jamaa wewe.Waache waenjoy,hakuna kipindi kinabamba kama hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
achana naye huyo...hao wana mihemko ya kitimu...bila kujua ukikosoa kitu siyo kwamba unakichukia bali unashauri kama mdau...Kuna mahali nimeandika kwamba inaniuma?
Nadhani hujakisikia kipindi, dakika 10 (tena nazo ni nyingi) zingetosha kufanya hivyo.
achana naye huyo...hao wana mihemko ya kitimu...bila kujua ukikosoa kitu siyo kwamba unakichukia bali unashauri kama mdau...
Sent using Jamii Forums mobile app