Duh!hata kumwish birthday mwenzao inakuuma?Wewe jamaa wewe.Waache waenjoy,hakuna kipindi kinabamba kama hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahali nimeandika kwamba inaniuma?
Nadhani hujakisikia kipindi, dakika 10 (tena nazo ni nyingi) zingetosha kufanya hivyo.