Kampuni mbona ilishajifia hiyoMBET wao wametoa kiasi gani kwa mshindi wa pili?
we unajua huo udhamini wa sh ngapi? kama hujui basi kaa kimyaSportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga?
Yanga iendelee na mdhamini huyu?
Mi navyojua bonus ni motisha tu, ila kuna mkataba wa udhamini ambao SportPesa anatoa pesa nyingi tu.SportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga?
Yanga iendelee na mdhamini huyu?
kwanza sikia bonasi ni malipo ya ziada,malipo yenyewe yanga inapokea above 4 bilionsNasemea hii bonus kwa timu ambayo imebeba vikombe 5 na kuitangaza sportspesa kifuani mwa jezi kwenye mashindano ya CAF na South Afrika.
Acha uchizi huko CAF yanga anavaa sports pesa?Nasemea hii bonus kwa timu ambayo imebeba vikombe 5 na kuitangaza sportspesa kifuani mwa jezi kwenye mashindano ya CAF na South Afrika.
kama zingekuwa nyingi kusingekuwa na hatihati ya kuendelea. Mzee kuwa mdhamini mkuu kwa timu kama Yanga na logo yako kukaa mbele sio masihala. Hata ss huku mtaa tumevaa sportspesa ujue. Gharama za kusajiri mchezaji mmoja Yanga kwa mwaka mzima na avae logo yako sio mchezo. GSM anatoa fedha nyingi lakini hakai kifuani.Mi navyojua bonus ni motisha tu, ila kuna mkataba wa udhamini ambao SportPesa anatoa pesa nyingi tu.
Kwani SportPesa si ndiye mdhamini mkuu. Kwani hatoi pesa? Hoja ipo kwenye hii ya motisha kuwa ni ndogo, wakati anatoa Bil 4 kwa mwaka. Timu kuwa na wadhamini wengi sio ishu, hata wangekuja GSM 10.kama zingekuwa nyingi kusingekuwa na hatihati ya kuendelea. Mzee kuwa mdhamini mkuu kwa timu kama Yanga na logo yako kukaa mbele sio masihala. Hata ss huku mtaa tumevaa sportspesa ujue. Gharama za kusajiri mchezaji mmoja Yanga kwa mwaka mzima na avae logo yako sio mchezo. GSM anatoa fedha nyingi lakini hakai kifuani.
South Africa ni mashindano gani hayo.Nasemea hii bonus kwa timu ambayo imebeba vikombe 5 na kuitangaza sportspesa kifuani mwa jezi kwenye mashindano ya CAF na South Afrika.
Afu inaipiga kila siku team inayotoboa kwenye makundiBonus kubwa sana hiyo....
timu yenyewe makundi haikutoboa...Bonus next time ipunguzwe