SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Bado hujaniprove kuwa wrong, tukutane hapa baada ya mechi na El Ahly. Sitegemei Simba kufanya vizuri kwenye mechi na El Ahly ikiwa imefanya vibaya na Bandari ya Mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba inaweza fungwa na al Ahaly, sijakataa kwani ni kawaida pia kwa mpira wa miguu, lkn itakapokuja na matokeo tofauti na unayotarajia pia usitengeneze sababu...., kabla ya kuzitoa team za Nkana na Mbabane swallows, na 1leg kuifunga JS soura, Simba ilifingwa na mbao na kutoa droo na ndanda..hii nayo unalizungumziaje?. Braza mpira huchezwa ndani ya dakika 90 na ndani ya uwanja, masuala ya utabiri tuwachie wenyewe wanajimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…