Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Nani atavumilia matusi ya Haji wakicheza na Everton?Sasa kwa nn kocha kamtoa chama eti anamuingiza kichuya? Mwenyewe yanga ila ili kombe ilitakiwa libaki tanzania au nyie simba amtaki kucheza na evarton?
Wakacheze na Namungo ya Kassim Majaliwa, Simba mwenzao!