Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Cha ajabu mwaka huu unaweza kukuta tunamaliza bila cha kujivunia pamoja na kuwa na kikosi kizuri.
Alafu wakiulizwa sababu wanasema eti sio kipaumbele chao.
Mpira wa ujanja ujanja hauna nafasi tenaTimu za Tanzania bhana...........
Wakiulizwa sababu kubwa ya kufungwa wanasema eti hii michuano sio kipaumbele chao utafikiri wanacheza bure.Baadhi ya wachezaj wa simba hawana umakini mkubwa
Nakuambia hivi what goes around comes.around, kwa kocha huyu na kiwango hiki tunachokionesha na timu kama Mashujaa, Mbao, Ndanda na Leo Bandari sitegemei maajabu, tukutane baada ya mechi na El AhlySimba inaweza fungwa na al Ahaly, sijakataa kwani ni kawaida pia kwa mpira wa miguu, lkn itakapokuja na matokeo tofauti na unayotarajia pia usitengeneze sababu...., kabla ya kuzitoa team za Nkana na Mbabane swallows, na 1leg kuifunga JS soura, Simba ilifingwa na mbao na kutoa droo na ndanda..hii nayo unalizungumziaje?. Braza mpira huchezwa ndani ya dakika 90 na ndani ya uwanja, masuala ya utabiri tuwachie wenyewe wanajimu!
Huo ndiyo ukweli mchungu. Ilikuwa kwa Manji. Sasa ni zamu ya Mo kupigwa hela.Mo dewji ataishia kupigwa hela na Hawa wajanja wa mjini na uwekezaji wake ukawa na output zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo ukweli mchungu. Ilikuwa kwa Manji. Sasa ni zamu ya Mo kupigwa hela.
Mo dewji ataishia kupigwa hela na Hawa wajanja wa mjini na uwekezaji wake ukawa na output zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilio changu siku zote ni aina ya wachezaji tunawasajiri au kuwanunua,wengi uwezo mdg au umri umeendaSimba Kuna shida mahali
Wale wachezaji walikuja kwenye majaribio hakuna hata mmoja mwenye kiwango kiukweli.
Ni ngumu Sana mchezaji mzuri kutoka mataifa ya africa magharibu umkute Hana timu alafu eti aje Tanzania kufanya majaribio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napata tabu kupata matanga yalipowekwa kwa Shunie! Mpaka sasa hivi sijapaona!Kilio changu siku zote ni aina ya wachezaji tunawasajiri au kuwanunua,wengi uwezo mdg au umri umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukuule papuchi bureInshaallah! Mnyama leo atatinga fainali kwa kishindo
Dalili zishaonyeshaCha ajabu mwaka huu unaweza kukuta tunamaliza bila cha kujivunia pamoja na kuwa na kikosi kizuri.
Taifa ya wapi ulikuaNi raha sana ukiwa Taifa halafu mikia wanapingwa
Congo
Poa