SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Simba inaweza fungwa na al Ahaly, sijakataa kwani ni kawaida pia kwa mpira wa miguu, lkn itakapokuja na matokeo tofauti na unayotarajia pia usitengeneze sababu...., kabla ya kuzitoa team za Nkana na Mbabane swallows, na 1leg kuifunga JS soura, Simba ilifingwa na mbao na kutoa droo na ndanda..hii nayo unalizungumziaje?. Braza mpira huchezwa ndani ya dakika 90 na ndani ya uwanja, masuala ya utabiri tuwachie wenyewe wanajimu!
Nakuambia hivi what goes around comes.around, kwa kocha huyu na kiwango hiki tunachokionesha na timu kama Mashujaa, Mbao, Ndanda na Leo Bandari sitegemei maajabu, tukutane baada ya mechi na El Ahly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli mchungu. Ilikuwa kwa Manji. Sasa ni zamu ya Mo kupigwa hela.
Mo dewji ataishia kupigwa hela na Hawa wajanja wa mjini na uwekezaji wake ukawa na output zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Kuna shida mahali
Wale wachezaji walikuja kwenye majaribio hakuna hata mmoja mwenye kiwango kiukweli.
Ni ngumu Sana mchezaji mzuri kutoka mataifa ya africa magharibu umkute Hana timu alafu eti aje Tanzania kufanya majaribio.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kilio changu siku zote ni aina ya wachezaji tunawasajiri au kuwanunua,wengi uwezo mdg au umri umeenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshaallah! Mnyama leo atatinga fainali kwa kishindo
Chukuule papuchi bure
tapatalk_1547982165711.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom