Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hadhi yake ni kule anapopigwa 5Simba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
Nafasi ya 3 mnapambana na mtani wenu mpya Mbao fc aliewanyoa kwa chupa msimΓΉ huuHivi simba tukikutana na kariobang kwenye kutafuta mshindi wa tatu, Yanga mtaishangilia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba k a Mikia hawana Kocha na wachezaji wengi ukimuondoa Okwi na Kagere hawana akili.Baadhi ya wachezaj wa simba hawana umakini mkubwa
Kombe la ligi kuu chini ya Aussien sahau, ule sio mpira wa kuchukua ubingwa bongo. Unahitajika mpira wa kasi na nguvu sio legelege kama huu wa AussienWatakuwa wameharibu sana tukimaliza ligi bila kombe aisee.
Nakubaliana na wewe 100%. Its disrespectful kwenye football kumdharau mpinzani wako na hata kujisifia. Profession inataka uwaheshimu wapinzani wako na kutokuwa na majivunoMimi siku zote huwa nasema na nitasema siku zote , sumu ya simba ni HAJI MANARA. Kwa mtu Mwenye akili timamu na anaejua Job Description ya Public Relation officer hawezi kumpa hiyo kazi Huyo Manara.
Kitengo cha habari cha team ni moja ya sehemu nyeti katika taasisi yoyote bora duniani. Ile ni taaluma. Watu wanapita vyuoni wanasomea hayo masomo.
Ndio maana huwezi kumsikia msemaji wa PSG ya ufaransa akisema wataifunga timu yoyote/kuidharau timu yoyote eti kwasababu wanafanya sajili zenye gharama kubwa duniani. Si tu PSG hata wasemaji wa timu zote kubwa duniani hali ni hivyo ( MANCHESTER UNITED, REAL MADRID, BAYERN, CHELSEA N.K)
Kama mashabiki wa timu ya simba wangekuwa wanajua kazi na majukumu ya PR na anachofanya Manara wangekuwa wameshaandamana kumzuia asiendelee kuonekana kwenye ofisi za simba.
Najua kuna changamoto za benchi la ufundi. Ila kuna mambo mengi hayapo sawa kwenye ofisi ya PR. Ambayo ni kikwazo kwa maendeleo ya timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
TutawanyooshaNafasi ya 3 mnapambana na mtani wenu mpya Mbao fc aliewanyoa kwa chupa msimΓΉ huu
Teh!wazee wa bandari wamejua kututulizia mji
Kweli kabisa ndugu yangu. Simba inahitaji mabadiriko makubwa ukiachilia mbali kwenye benchi la ufundi .. Kila siku makocha wanabadirishwa lakini Nafasi nyeti ya PR inachezewa. Mtu anakaa anasema simba inaweza kuifunga Barcelona na PSG na watu wanacheka. Simaanishi simba haiwezi kuifunga hizo team. Tatizo ni kuadress vitu kimipasho.Nakubaliana na wewe 100%. Its disrespectful kwenye football kumdharau mpinzani wako na hata kujisifia. Profession inataka uwaheshimu wapinzani wako na kutokuwa na majivuno
Mie ni Simba ila Manara sitaki hata kumsikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msije mkanyooshwa nyie underdog
Nakubaliana na wewe 100%. Its disrespectful kwenye football kumdharau mpinzani wako na hata kujisifia. Profession inataka uwaheshimu wapinzani wako na kutokuwa na majivuno
Mie ni Simba ila Manara sitaki hata kumsikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikukimbie wapi wajua Mtani wako kuna muda nakuwa busy na mambo ya nje ya jf.Mtani upo wapiiiiiiiii Shadeeya naona umenikimbia kagereeeeeeee [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie nakuona. ππ
ππππ huwa nakukubali sana Mtani wangu wewe yaani unakuwaga nusu nusu yaani kama ni ushindi unautaka na hata ikitokea umefungwa kwako hewala.Mara paap! Mnyama anatinga fainali!
Wacha weeee. Mtani nakaa najiwazia tu tungekuwa tunaijua mbele. ππππShadeeya mambo ni [emoji313][emoji313][emoji313] clap [emoji122] for kagere
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Nilijaribu nikashindwa Mtani.Unajua Shadeeya nilitamani sana uwe simba sema tu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu nashindwa kukubadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£ lol
Pole Kaka.