SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Mimi siku zote huwa nasema na nitasema siku zote , sumu ya simba ni HAJI MANARA. Kwa mtu Mwenye akili timamu na anaejua Job Description ya Public Relation officer hawezi kumpa hiyo kazi Huyo Manara.

Kitengo cha habari cha team ni moja ya sehemu nyeti katika taasisi yoyote bora duniani. Ile ni taaluma. Watu wanapita vyuoni wanasomea hayo masomo.

Ndio maana huwezi kumsikia msemaji wa PSG ya ufaransa akisema wataifunga timu yoyote/kuidharau timu yoyote eti kwasababu wanafanya sajili zenye gharama kubwa duniani. Si tu PSG hata wasemaji wa timu zote kubwa duniani hali ni hivyo ( MANCHESTER UNITED, REAL MADRID, BAYERN, CHELSEA N.K)

Kama mashabiki wa timu ya simba wangekuwa wanajua kazi na majukumu ya PR na anachofanya Manara wangekuwa wameshaandamana kumzuia asiendelee kuonekana kwenye ofisi za simba.

Najua kuna changamoto za benchi la ufundi. Ila kuna mambo mengi hayapo sawa kwenye ofisi ya PR. Ambayo ni kikwazo kwa maendeleo ya timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe 100%. Its disrespectful kwenye football kumdharau mpinzani wako na hata kujisifia. Profession inataka uwaheshimu wapinzani wako na kutokuwa na majivuno
Mie ni Simba ila Manara sitaki hata kumsikia.

Kweli kabisa ndugu yangu. Simba inahitaji mabadiriko makubwa ukiachilia mbali kwenye benchi la ufundi .. Kila siku makocha wanabadirishwa lakini Nafasi nyeti ya PR inachezewa. Mtu anakaa anasema simba inaweza kuifunga Barcelona na PSG na watu wanacheka. Simaanishi simba haiwezi kuifunga hizo team. Tatizo ni kuadress vitu kimipasho.

Simba imekuwa ikipata shida sana mechi za ndani kutokana na Manara .. Anadharau wapinzani hali inayopelekea kila timu kuikamia simba. Nikisema nimchambue Manara na udhaifu wake kwenye Nafasi ya PR naweza nisimalize. Lakini tujue simba Nafasi zote za kitaaluma pleaseeee waajiriwe wataalamu na wasomi wa hizo Nafasi. Mtu aliepitia darasani kusema Public Relation (PR) hawezi kufanya anayoyafanya manara.

Angalia tofauti ya Dismas Temi na Manara. Hapa mmoja ni mwanataaluma na mwingine mbabaishaji.

Kazi ya kwanza ya mamara ingekuwa kuwajenga wapenzi wa simba kuwa mashabiki na sio kuwafanya wawe OYA OYA. Yani anawajenga mashabiki kuwa Wajinga wajinga.

Ili ujue uelewa wa huyu jamaa cheki alivyodeal na issue ya SHAFIH Dauda kuhusu kuuzwa kwa Niyonzima na Timu kuwa underdog. Amini nakwambia kwa PR aliepitia shule hili suala lingemalizwa kwa maneno yasiyozidi 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe 100%. Its disrespectful kwenye football kumdharau mpinzani wako na hata kujisifia. Profession inataka uwaheshimu wapinzani wako na kutokuwa na majivuno
Mie ni Simba ila Manara sitaki hata kumsikia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haji Manara haingii uwanjani, yeye anapiga porojo nje ya uwanja.

Ni kocha na wachezaji wake tu ndo chanzo cha hizi failures.
 
Mara paap! Mnyama anatinga fainali!
😀😀😀😀 huwa nakukubali sana Mtani wangu wewe yaani unakuwaga nusu nusu yaani kama ni ushindi unautaka na hata ikitokea umefungwa kwako hewala.

Pole sana kwani inabidi mgange ya Al Ahly sasa.
 
Back
Top Bottom