SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

[emoji2][emoji2][emoji2] walisahau kwamba siku zote kuimba ni kupokezana. [emoji2][emoji2][emoji2]
Walahi Simba na Yanga ni pipa na mfuniko wake. Huyu akiharibu kesho mwenzie yupo njiani.
AS Vita uchawi wao si wa nchi hii, Simba hajafufuka kabisa na hili zimwi la Kinshasa.
Atazinduka wa mwisho kwenye kundi, game over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana anaongea kama mtu aliyevurugwa then mashabiki wanamshangilia kama mazuzu wameanza kupoteana ndo wanagundua aliwadanganya kuwaambia wanakikosi kipana
Hahaaaa. Mie najiona wanaomfuatilia sana yule jamaa lazima itakuwa wanapresha za kupanda na kushuka. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Snipes usijifanye huu uzi hujauona bana Ulisema mkiwa kwa mchina huwa mnafanyaje vile? 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…