Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Labda Barca na Bayern zile za ndondo Cup. ππEti wana uwezo wakuwafunga Barca na Bayern. Kwa Everton ingekuwa kumsukuma mlevi. Tambo zao si za Dunia hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Labda Barca na Bayern zile za ndondo Cup. ππEti wana uwezo wakuwafunga Barca na Bayern. Kwa Everton ingekuwa kumsukuma mlevi. Tambo zao si za Dunia hii!
HahahΓ aa. Hatari MkuuBangi anayovuta Manara mbaya sana
Hahahaaaa. Hivyo huko ndio alipo mchawi wenyu. ππππTuna issue kwenye benchi la ufundi.
Weekend iko pooooa kabisa. Najua wajua sababu za kuwa poa. ππππ
Pole Mtani. Kikubwa uzima upo
Weekend iko pooooa kabisa. Najua wajua sababu za kuwa poa. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mzima?
πππ walisahau kwamba siku zote kuimba ni kupokezana. πππ
Maana anaongea kama mtu aliyevurugwa then mashabiki wanamshangilia kama mazuzu wameanza kupoteana ndo wanagundua aliwadanganya kuwaambia wanakikosi kipanaHahahΓ aa. Hatari Mkuu
Walahi Simba na Yanga ni pipa na mfuniko wake. Huyu akiharibu kesho mwenzie yupo njiani.[emoji2][emoji2][emoji2] walisahau kwamba siku zote kuimba ni kupokezana. [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaaa. Nguvu moja wanakuwa kama kinywaji tena kile cha bariiiidi yaani kila tunaposikia habari zake za jana roho zinasuuzika. ππππ
Wasikusikie wenyewe.Walahi Simba na Yanga ni pipa na mfuniko wake. Huyu akiharibu kesho mwenzie yupo njiani.
AS Vita uchawi wao si wa nchi hii, Simba hajafufuka kabisa na hili zimwi la Kinshasa.
Atazinduka wa mwisho kwenye kundi, game over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Mie najiona wanaomfuatilia sana yule jamaa lazima itakuwa wanapresha za kupanda na kushuka. ππππMaana anaongea kama mtu aliyevurugwa then mashabiki wanamshangilia kama mazuzu wameanza kupoteana ndo wanagundua aliwadanganya kuwaambia wanakikosi kipana
Hawajui anajitengenezea umaarufu ready Kwa 2020Hahaaaa. Mie najiona wanaomfuatilia sana yule jamaa lazima itakuwa wanapresha za kupanda na kushuka. ππππ
Hahahaaa. Nguvu moja wanakuwa kama kinywaji tena kile cha bariiiidi yaani kila tunaposikia habari zake za jana roho zinasuuzika. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]