Cha kusikitisha badala ya kuimarika anazidi kuwa kituko siku zinavyoenda.Nashindwa kuelewa simba aliyecheza na nkana mechi zote mbili akacheza na soura akacheza na kmc sio huyu nae muona sasa anatakiwa afanye mabadiliko makubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kabisaa..
Unaona kinachotokea sasa mi niko yanga kabisa ila kwa hili kombe na wakenya wanavyoongea nataka simba ashinde ila anacheza mpira hauna malengo kabisaCha kusikitisha badala ya kuimarika anazidi kuwa kituko siku zinavyoenda.
yeuuuwiii
Ndio hivyo na amekoswa la tatu balaa manula mwenyewe anachodaka anakijua mwenyewe ila ile penalty ya bandari haikuwa fair simba wameonewayeuuuwiii
Sio nchi ni aibu kwa mikia mkuu
Ndio hivyo na amekoswa la tatu balaa manula mwenyewe anachodaka anakijua mwenyewe ila ile penalty ya bandari haikuwa fair simba wameonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
meli hiyoooWazeee wa bandariiiii mpoooooo.....