Hii ni aibu ya kujitakia tu! Uzembe ndio sababu kubwa maana hii michuano ingetumika vizuri kujiimarisha na kuandaa kikosi cha kucheza kule Misri. Tunapuuza michuano kama hii huku tukitegemea kufanya vizuri michuano mikubwa kitu ambacho hakiwezekani.Na hapo kuna international players km 8,kocha wa kigeni na msaidizi wake, na fedha zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo vi vipi hadi sasaHii sio timu ya kushindana michuano mikubwa hiki ni kituko kwa kweli.
Simba imefungwa 2-1
Sio kudharau mkuu,uwezo wetu bado sana asee. Nilichotegemea ni kuona kuna 'Improvement' katika baadhi ya idara ili kusahihisha makosa yaliyofanyika Congo.
Ila ninachokishuhudia ni madudu tu kila siku,inapiga hatua 10 nyuma kwasasa. Huoni mnyumbuliko wa wachezaji kabisa.
Hili nakiri kabisa Simba ni Underdog kwenye kundi lake.
TFF wanatumbuana tu km pale soko la samakiNasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.
Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.
Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.
Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.
hawezi kuona Manara kawapotosha na kawatia ujinga mafans wengi saa wa simba .. Nilipost humu makosa ya maula,wawa na tshabalala ..daaaah ...nafikiri wanayaonaa sasaMkuu umeandika kwa kumaanisha au kwa Sababu Simba imetolewa? Kwanini wasitumie michuano kama hii kama njia ya kujiimarisha na kurekebisha makosa yao? Ina maana kweli mkuu huyaoni mapungufu makubwa ya hichi kikosi?
Hii ni aibu ya kujitakia tu! Uzembe ndio sababu kubwa maana hii michuano ingetumika vizuri kujiimarisha na kuandaa kikosi cha kucheza kule Misri. Tunapuuza michuano kama hii huku tukitegemea kufanya vizuri michuano mikubwa kitu ambacho hakiwezekani.
hawezi kuona Manara kawapotosha na kawatia ujinga mafans wengi saa wa simba .. Nilipost humu makosa ya maula,wawa na tshabalala ..daaaah ...nafikiri wanayaonaa sasa
Ligi kuu umecheza lini wewe .... una mechi 9 mkononi.....nambie lini umecheza mara ya mwisho ligi kuu ya tanzaniaNasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.
Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.
Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.
Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.
Na ndani kuna kubebena! Utajisifiaje mechi za ndani wakati kuna KULWA kaekewa viporo lundo kama lote! DOTTO anashindwa kulalamika anaogopa kujibiwa WEWE MBONA UMEEKEWA LUNDO KM LOTE la mechi za nyumbani bila kutoka!Ifike wakati tuwe wakweli,Tanzania mpira inabidi tujipange,kwa ndani tunaweza kuona tunajiweza lakini kwa hakika tukitoka nje hamna kitu. Ukweli mchungu huo. Na hilo ni kwa Simba,Yanga,Azam na team yoyote. Kwa hakika tumepoteza dira. Tubaki tu kujisifia mechi za ndani lakini huko nje ni shida tupu,inatia sana simanzi.
Sent using Jamii Forums mobile app