SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Na hapo kuna international players km 8,kocha wa kigeni na msaidizi wake, na fedha zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni aibu ya kujitakia tu! Uzembe ndio sababu kubwa maana hii michuano ingetumika vizuri kujiimarisha na kuandaa kikosi cha kucheza kule Misri. Tunapuuza michuano kama hii huku tukitegemea kufanya vizuri michuano mikubwa kitu ambacho hakiwezekani.
 
Sio kudharau mkuu,uwezo wetu bado sana asee. Nilichotegemea ni kuona kuna 'Improvement' katika baadhi ya idara ili kusahihisha makosa yaliyofanyika Congo.
Ila ninachokishuhudia ni madudu tu kila siku,inapiga hatua 10 nyuma kwasasa. Huoni mnyumbuliko wa wachezaji kabisa.
Hili nakiri kabisa Simba ni Underdog kwenye kundi lake.

Una point lakini umezungumza kishabiki sana
 
mechi imemalizika kwa mnyama kupokea kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa timu ya bandari. ni timu ya tatu kwa tanzania kupoteza nafasi ya kunyakua kombe la sportpesa.
imebaki mbao fc ambayo ndio timu pekee inayopeperusha bendera ya tanzania katika michuano hii ya sportpesa...
nini utabiri wako kwa mbao fc vs kariobang.
 
Nasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.

Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.

Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.

Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.
TFF wanatumbuana tu km pale soko la samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeandika kwa kumaanisha au kwa Sababu Simba imetolewa? Kwanini wasitumie michuano kama hii kama njia ya kujiimarisha na kurekebisha makosa yao? Ina maana kweli mkuu huyaoni mapungufu makubwa ya hichi kikosi?
hawezi kuona Manara kawapotosha na kawatia ujinga mafans wengi saa wa simba .. Nilipost humu makosa ya maula,wawa na tshabalala ..daaaah ...nafikiri wanayaonaa sasa
 
Naonaga humu wakimshambulia yule mchambuzi wa soka,usikute yuko sahihi yule jamaa
Hii ni aibu ya kujitakia tu! Uzembe ndio sababu kubwa maana hii michuano ingetumika vizuri kujiimarisha na kuandaa kikosi cha kucheza kule Misri. Tunapuuza michuano kama hii huku tukitegemea kufanya vizuri michuano mikubwa kitu ambacho hakiwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.

Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.

Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.

Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.
Ligi kuu umecheza lini wewe .... una mechi 9 mkononi.....nambie lini umecheza mara ya mwisho ligi kuu ya tanzania
 
Ifike wakati tuwe wakweli,Tanzania mpira inabidi tujipange,kwa ndani tunaweza kuona tunajiweza lakini kwa hakika tukitoka nje hamna kitu. Ukweli mchungu huo. Na hilo ni kwa Simba,Yanga,Azam na team yoyote. Kwa hakika tumepoteza dira. Tubaki tu kujisifia mechi za ndani lakini huko nje ni shida tupu,inatia sana simanzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndani kuna kubebena! Utajisifiaje mechi za ndani wakati kuna KULWA kaekewa viporo lundo kama lote! DOTTO anashindwa kulalamika anaogopa kujibiwa WEWE MBONA UMEEKEWA LUNDO KM LOTE la mechi za nyumbani bila kutoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa timu ya simba kwa sasa ni sawa na 'dada poa' a.k.a changudoa, yaani kila mwanaume mwenye dushelele anajipigia tuuu kiulainiii gharama ni kuanzia mia3. mia4, mia5 adi mia7
 
baada ya kubugizwa 5 mtungi na wale wacheza sebene, sasa simba ni rasmi jamvi la wageni yaani sasa ni mwendo kwa kubugizwaaaaaaa tuuu kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom