Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hii ni aibu ya kujitakia tu! Uzembe ndio sababu kubwa maana hii michuano ingetumika vizuri kujiimarisha na kuandaa kikosi cha kucheza kule Misri. Tunapuuza michuano kama hii huku tukitegemea kufanya vizuri michuano mikubwa kitu ambacho hakiwezekani.Na hapo kuna international players km 8,kocha wa kigeni na msaidizi wake, na fedha zipo
Sent using Jamii Forums mobile app