Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hichi ndio kikosi cha kucheza kule Misri kwa mpira huu unaochezwa basi tusijipe matumaini kupitiliza tutakuwa tunajijaza ujinga
Mpira ni mchezo wa wazi hauchezwi chumbani kwa performance hii ya Simba kuna 5 nyingine Misri
Nashindwa kuelewa simba aliyecheza na nkana mechi zote mbili akacheza na soura akacheza na kmc sio huyu nae muona sasa anatakiwa afanye mabadiliko makubwa sanaKama hichi ndio kikosi cha kucheza kule Misri kwa mpira huu unaochezwa basi tusijipe matumaini kupitiliza tutakuwa tunajijaza ujinga