SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Poleni Simba, mjipange msipigwe mkono huko Misri
 
Huko ulaya Timu zinacheza ndani ya wiki moja mara mbili yaani jumanne au jumatano wanakipiga halafu tena jumamosi au jumapili inaingia tena uwanjani kukipiga. Ulaya kuna michuano mingi tu mfano kuna ligi kuu, kombe la ligi mfano copa Italy kwa nchini Italy na kombe la FA (emirates) kwa uingereza, n.k bado kuna michuano ya kimataifa kama ueropa league na uefa champions league na timu zinacheza zaidi ya mara moja kwa wiki pasipo shida wala kulalamika.

Je unakumbuka mara ya mwisho Simba akicheza mechi ya ligi kuu hadi sasa imeshapita wiki ngapi? Unalalama hivyo wakati Simba haijacheza mechi za ligi kuu kwa muda mrefu tu, je wangechezeshwa ligi kuu si ungelalama hadi basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.

Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?
 
Simba iko vzr sana kiteam, kimkakati kocha hakuelekeza akili yake katika mashindano haya, na hii imeleta hata impact kwa wachezaji akili zao zote zipo Champions league, kila mchezaji anataka a reserve nguvu na maarifa yake kwa mashindano hayo, ambacho kimesababisha kupoteza focus.. Kingine naona wachezaji bado wana fatigue na wenge ma goli tano, pia kocha anatakiwa akafanye kazi kubwa kuwapa maelekezo mabeki, umakini umepotea sana!
 
Yanga kweli tuna hali mbaya na wao Simba wana hali nzuri. Tunategemea mtuprove kwa kile mnachojinasibu mna hali nzuri na kikosi kipana lakini hiki ni nini tunachokiona.? Hivi mnaanzaje kujisifu na kujinasibu mbele yetu nyie ni bora.? Hivi naanzaje kuishangilia hii timu eti niwe mzalendo.? Siwezi na sitokuja kamwe kama uzalendo unapimwa kwa style hiyo wacha nisiwe mzalendo.

Hongera Bandari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.

Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?

Mechi ya michuano miwili tofauti iliyoichezwa kwa tofauti ya siku moja, ni mechi moja tu. Siku ile ambayo Simba ilicheza na JS Soura kisha kesho yake tena ikacheza michuano ya mapinduzi dhidi ya Azam. Zaidi ya tukio hiyo niambie tena ni lini kacheza mechi ya Michuano 'A' kisha kesho yake kacheza michuano 'B' ili iwe sababu halisi ya Simba kupoteza michezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba iko vzr sana kiteam, kimkakati kocha hakuelekeza akili yake katika mashindano haya, na hii imeleta hata impact kwa wachezaji akili zao zote zipo Champions league, kila mchezaji anataka a reserve nguvu na maarifa yake kwa mashindano hayo, ambacho kimesababisha kupoteza focus.. Kingine naona wachezaji bado wana fatigue na wenge ma goli tano, pia kocha anatakiwa akafanye kazi kubwa kuwapa maelekezo mabeki, umakini umepotea sana!
Unashindwa mechi hii halafu unategemea champions ligi utafika popote, it doesnt work like that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashindwa mechi hii halafu unategemea champions ligi utafika popote, it doesnt work like that

Sent using Jamii Forums mobile app
How it works then? Ninyi ndy mashabiki msiokuwa na patience na passion na team, mnaipenda team tu pale inapokua na matokeo mazuri na kuimwagia sifa kedekede, ikiteleza lawama kibao etc, mpira ni mchezo wa wazi, na mchezo wa makosa, ukikosea mpinzani wako anakuadhibu regardless ni team ya aina gani unacheza nayo....na Bandari proved all this! Period!
 
Back
Top Bottom