papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
Yaani tarehe 1 feb, huko cairo itakuwa ni 'totally fiasco' kama si 9 mtungi basi itakuwa 11 bilaa, jiandaeni kisaikolojia mapemaaaa!Tutake radhi sisi mabingwa tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tarehe 1 feb, huko cairo itakuwa ni 'totally fiasco' kama si 9 mtungi basi itakuwa 11 bilaa, jiandaeni kisaikolojia mapemaaaa!Tutake radhi sisi mabingwa tafadhali
Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.Huko ulaya Timu zinacheza ndani ya wiki moja mara mbili yaani jumanne au jumatano wanakipiga halafu tena jumamosi au jumapili inaingia tena uwanjani kukipiga. Ulaya kuna michuano mingi tu mfano kuna ligi kuu, kombe la ligi mfano copa Italy kwa nchini Italy na kombe la FA (emirates) kwa uingereza, n.k bado kuna michuano ya kimataifa kama ueropa league na uefa champions league na timu zinacheza zaidi ya mara moja kwa wiki pasipo shida wala kulalamika.
Je unakumbuka mara ya mwisho Simba akicheza mechi ya ligi kuu hadi sasa imeshapita wiki ngapi? Unalalama hivyo wakati Simba haijacheza mechi za ligi kuu kwa muda mrefu tu, je wangechezeshwa ligi kuu si ungelalama hadi basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Litim lenyewe la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji tena mwanamke, hivyo ushirikina ni jadi yao, nasikia hata CAF wamewapa 'written warning' kwa kuendekeza vitendo vya ushirikina dhini ya Mbabane swallows FC
Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.
Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?
Hatujadharau huo ndio uwezo wetuSimba tumedharau game, mechi ilikua nyeupe kabisa hii
Ondoa kocha huyo rudisha Leshante na Masoud tuione Simba yenye ushindaniTumezingua sana, hizi sio mechi za kujaribu vikosi una dream kucheza na everton halafu unawadharau bandari
Pole kwa kuchaniwa mkeka
Hakuna mtu anaemtilia maanani Manara nikiwa mpenzi wa Simba namuona sio mwanaspoti kabisa kwa kauli zake.hawezi kuona Manara kawapotosha na kawatia ujinga mafans wengi saa wa simba .. Nilipost humu makosa ya maula,wawa na tshabalala ..daaaah ...nafikiri wanayaonaa sasa
Unashindwa mechi hii halafu unategemea champions ligi utafika popote, it doesnt work like thatSimba iko vzr sana kiteam, kimkakati kocha hakuelekeza akili yake katika mashindano haya, na hii imeleta hata impact kwa wachezaji akili zao zote zipo Champions league, kila mchezaji anataka a reserve nguvu na maarifa yake kwa mashindano hayo, ambacho kimesababisha kupoteza focus.. Kingine naona wachezaji bado wana fatigue na wenge ma goli tano, pia kocha anatakiwa akafanye kazi kubwa kuwapa maelekezo mabeki, umakini umepotea sana!
How it works then? Ninyi ndy mashabiki msiokuwa na patience na passion na team, mnaipenda team tu pale inapokua na matokeo mazuri na kuimwagia sifa kedekede, ikiteleza lawama kibao etc, mpira ni mchezo wa wazi, na mchezo wa makosa, ukikosea mpinzani wako anakuadhibu regardless ni team ya aina gani unacheza nayo....na Bandari proved all this! Period!Unashindwa mechi hii halafu unategemea champions ligi utafika popote, it doesnt work like that
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hutawaona humu.
Huyo ni Yanga piga, ua.Ukiangalia comments zake utagundua ana mahaba na Simba japo anajitahidi kuyaficha.
Huyu wa sasa ndiyo halisi kabisa.Nashindwa kuelewa simba aliyecheza na nkana mechi zote mbili akacheza na soura akacheza na kmc sio huyu nae muona sasa anatakiwa afanye mabadiliko makubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa mmeshamkumbuka Masoud eeeeeOndoa kocha huyo rudisha Leshante na Masoud tuione Simba yenye ushindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeee! Sema kweli