Anasemaga nani kwamba Yanga hawana hela ?Kweli mbmb hivi siku zote si mnasema yanga hawana hela, sasa wananunuaje mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itapendeza sana tukilamba hizi pesa za sport pesa japo Gor mahia wanaonekana tishio.
Wapo kimya wanasubiri Simba ifungweHapa hawaji kuchangia wanajua juzi walitukana sana saivi wamejificha utawasikia kesho jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itapendeza sana tukilamba hizi pesa za sport pesa japo Gor mahia wanaonekana tishio.
Ikitokea tuchukue halafu tucheze na Everton kuna watu watakufa kwa kihoro
Simba je?Hizi timu za leo majina tu ila kiukweli ni mbovu. Yanga kihalali ligi kuu ilitakiwa iwe nafasi ya Saba hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba level nyingine huwez ifananisha na timu km Yanga wanachojua ni kupigana uwanjani
Mashindano ya kimataifa au kanda huwa hawayapi kipaumbele kabisa (Rejea uozo wanaoufanya klabu bingwa Africa na Shirikisho) Wameridhika na ligi yao ya TPL tu. Hivi vilabu vyetu haviwatendei haki watanzania na mashabiki wao.Timu za bongo shida sana,badala watu wakaze kiuno ili mje mcheze na Everton mjiuze kimataifa....mnalukaluka tuuu. Kenya wanaingiza timu mbili nusu fainali mpaka sasa, Mbao FC sidhani kama ana ubavu wa kumpiga Gormahia, labda tungoje huyo Simba FC.
Vipi mtani! Ikitokea Simba inacheza na Everton utaweza kuangalia Kweli?🤣🤣🤣🤣 leooo.
Haswaaaaaa.Daima Mbele Nyuma Mwiko
Hahahaaa. Mtoto kumbe na weww hujambo eeee. Haya bana.Dah mbona magoli yanakua adimu na nafasi mnazipata, halafu mmevaa jezi zetu mjue
Sent using Jamii Forums mobile app