SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

Lazima watupe ngumi. Kidonda cha kutolewa 'koki" hakijapona wakaja wavuta bangi Kariobangi wakafuatisha vitatu.Ikawauma ikabidi warushe ngumi.
Jamaa wamekuwa wateja jumamosi wametoa STENDI leo kwa Kariobangi.
 
Wametolewa "koki" STENDI halafu wavuta bangi wakamalizia kwa vitatu lazima warushe ngumi. Bikira haijapona wamerudishia hivyo hivyo.
Mwana kashajua utamu hatulii nyumbani.
 
Timu za bongo shida sana,badala watu wakaze kiuno ili mje mcheze na Everton mjiuze kimataifa....mnalukaluka tuuu. Kenya wanaingiza timu mbili nusu fainali mpaka sasa, Mbao FC sidhani kama ana ubavu wa kumpiga Gormahia, labda tungoje huyo Simba FC.
Mashindano ya kimataifa au kanda huwa hawayapi kipaumbele kabisa (Rejea uozo wanaoufanya klabu bingwa Africa na Shirikisho) Wameridhika na ligi yao ya TPL tu. Hivi vilabu vyetu haviwatendei haki watanzania na mashabiki wao.
 
Back
Top Bottom