Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Yanga gulioni kateereroo.Kizaazaa uwanjani
Yanga sio ya Tanzania hawa asili yao shelisheliNacheck kupitia KBC, wakenya wanapamba sana timu zao....wanasema mpaka sasa timu mbili za Kenya zimeingia nusu fainali na zile mbili za Tanzania zimerudi Home....eti HOME.....noma aiseeeee, wanakuja kwenu na mabegi kumchukua mwali.....[emoji15][emoji15]
Masikiniiiiii chura kavutishwa bangi nyumbani? aaaaaaaahhhh hii haikubaliki kabisa
Nacheck kupitia KBC, wakenya wanapamba sana timu zao....wanasema mpaka sasa timu mbili za Kenya zimeingia nusu fainali na zile mbili za Tanzania zimerudi Home....eti HOME.....noma aiseeeee, wanakuja kwenu na mabegi kumchukua mwali.....[emoji15][emoji15]
Mimi hapa yaani tumevutishwa bangi nyumbani aiseee imeniuma sana natamani kuliakuna mtu anateseka??
Mkuu imeniuma sana sana sana haya yote wametaka wale stendi
Hahaa stendi wameiaribia YangaMkuu imeniuma sana sana sana haya yote wametaka wale stendi
Huyu kocha lazima afanywe kitu abadilike.
Sasa hivi imekuwa jamvi la wageni