Ahaaa haaa haaa
Sasa mbona anajifanya Mtaalam wa high way engineering, huku yeye ni fundi mwashi. Halafu mbaya ZAIDI anaanza kubishana na Mimi encyclopedic graduate or learned guy. Yeye anafikiri mimi nimefika hapa kwa kubahatisha. Mwambie asirudie kufanya utani na watu wabobezi kama sisi. Yeye aendelee tu kuandaa hesabu ya saruji kiasi GANI, nondo kiasi na size gani, ratio of concrete, beam and columns etc. Hayo ndiyo yake, asisogee kwa sisi wenye composite discipline or knowledge, hatuchelewi kumuumbua. I wish siku moja nikutane naye kwenye site or technical meeting nimning'inize.
Teh teh teh tihiii
Nadhani sasa umeelewa kuwa huyo
NairobiWalker mwenzako ni mkadiriaji majenzi na high way engineer.