Spot the difference between Tanzania 🇹🇿 and the rest of Africa 🌍 including Kenya 🇰🇪

Spot the difference between Tanzania 🇹🇿 and the rest of Africa 🌍 including Kenya 🇰🇪

Naona mnadhani tulipata uhuru na tukaweza kujenga mashirika yote ya E.A.C 'from scratch'. Mkoloni aliwai mbele yetu hilo wazo la soko huru la E.A na tulirithi 'structures' nyingi za muungano wa E.A. kutoka kwake. Hivi hamjajiuliza ilikuwaje tukawa na sarafu moja Afrika mashariki miaka mingi tu kabla ya kupata uhuru? E.A.Airways ilianza kazi rasmi 1st January 1946, someni kuhusu hayo hapa. THE EAST AFRICAN AIRWAYS(1946) thisdayes naona unapenda kusoma vitabu. Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between..... Bofya hapo usome kitabu cha Maximilian Haller: The E.A.C. and the difference between theory and practise based on the example of free movement of goods and services. Hapo chini utapata references ya vitabu zaidi ya 20 kuhusu ushirikiano wa nchi za Afrika mashariki na mashirika husika kabla ya uhuru. Zisome kama ungependa kujua kwa undani historia ya E.A.
Nyinyi amjapata Uhuru hata sasa ni koloni la mzungu hata waafrika ya kusini wanajua
 
Leo naona umejitutumua ukaandika paraghraph mbili, nimekuzoea mzee wa sentensi moja.
Nimekuambia mimi sio muhandisi wa barabara hivyo ukikariri misamiati na kuitupa tupa humu labda waje wahandisi akina NairobiWalker wakuumbue.
Kila mtu ana taaluma yake, hivy usikariri misamiati na kuona umesoma kuwazidi wote, njoo kwenye tasnia yangu na misamiati ya kukariri nikuweke sawa.
Ndiyo yule muandisi aliye ikimbia jf siku za nyuma [emoji2] [emoji2]
 
Ahaaa haaa haaa
Sasa mbona anajifanya Mtaalam wa high way engineering, huku yeye ni fundi mwashi. Halafu mbaya ZAIDI anaanza kubishana na Mimi encyclopedic graduate or learned guy. Yeye anafikiri mimi nimefika hapa kwa kubahatisha. Mwambie asirudie kufanya utani na watu wabobezi kama sisi. Yeye aendelee tu kuandaa hesabu ya saruji kiasi GANI, nondo kiasi na size gani, ratio of concrete, beam and columns etc. Hayo ndiyo yake, asisogee kwa sisi wenye composite discipline or knowledge, hatuchelewi kumuumbua. I wish siku moja nikutane naye kwenye site or technical meeting nimning'inize.

Teh teh teh tihiii
Nadhani sasa umeelewa kuwa huyo NairobiWalker mwenzako ni mkadiriaji majenzi na high way engineer.

La yeye kuwa mkadiriaji ni wewe umeiweka, hamna sehemu amekiri hilo, yeye ni mtaalam hata ukiona anavyojadili mada za kitaalam ni wazi ni muhandisi anayejua kazi yake, tofauti na wewe mzee wa kutupia tupia misamiati ya kukariri, sijaona sehemu yoyote humu JF umejadili au kuchangia chochote cha kitaalam hata siku moja.
 
Sungura aliposhindwa kuyafikia matunda alisema sio matamu, hivo ndivyo mlivyo. Kwa mfano wewe ukienda Ghana utawazungumzia kwa kiswhahili ama kiingereza?
Acha kufikiria kwa unyonge wewe, jiamini na ujikubali, hakuna anayekataa kwamba English sio muhimu, tunachokataa ni ninyi kuthamini zaidi English kuliko Kishwahili ambayo ndio lugha ya Taifa lenu, ninyi mnachukulia English kama dalili ya kustaarabika na kuelimika, hapo ndipo mnapokosea.
 
Sisi tunatumia lugha zetu za asili, kiswahili na kiingereza sasa sijui nini kinakusumbua.

Sent from my 4013D using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunatumia lugha zetu za asili, kiswahili na kiingereza sasa sijui nini kinakusumbua.

Sent from my 4013D using JamiiForums mobile app
Kinachosumbua sio kutumia English, ni kukithamini kiingereza zaidi ya Kishwahili, kwenu mtu asiyejua English mnamuona kama hajaelimika na mnamchukulia ni second class. Kuna dada mmoja anaendesha kipindi cha 10/10 citizen TV hajui kiswahili wakati programme yake ni ya Kiswahili, inakuaje anatapata ajira ktk sehemu za kijamii kama hiyo?, huko ni kudhalilisha nchi yenu.
 
La yeye kuwa mkadiriaji ni wewe umeiweka, hamna sehemu amekiri hilo, yeye ni mtaalam hata ukiona anavyojadili mada za kitaalam ni wazi ni muhandisi anayejua kazi yake, tofauti na wewe mzee wa kutupia tupia misamiati ya kukariri, sijaona sehemu yoyote humu JF umejadili au kuchangia chochote cha kitaalam hata siku moja.

Ahaaa haaa haaa
Who is a quantity surveyor?
Wee unafikiri tunavyomuita bricks and mortar engineer ni siye tulimpa hilo JINA?
Fuatilia ile thread ya ONLY BRT alivyojipambanua KUWA yeye ni QS.

Teh teh teh tihiii
Halafu mimi ni encyclopedic graduateor learned guy, kila sector naongea in deep.
Shida yako ni elimu ndogo uliyo nayo. Badala ya kukazia fikra na uangalifu wako kwenye mada na masomo mazito mazito ninayotoa wewe unafikiria misamiati.
Ahaaa haaa haaa
Lkn wenye mioyo mikunjufu wananielewa mpaka wanashangaa nilivyo na composite discipline niliyo nayo.

Kama bado mlete yule bricks and mortar engineer wako nimmalize kabisa na ka BoQ ka kake.
 
Hizo za asili ndozimesababisha ukabila😂😂

Wewe ipi unajua maana Kiswahili chako huwa majanga, Kingereza ndio hukijui, labda lugha yako ya asili japo hatuna uhakika maana inawezekano hiyo nayo ndio mweupeeeee!!!
 
Wewe ipi unajua maana Kiswahili chako huwa majanga, Kingereza ndio hukijui, labda lugha yako ya asili japo hatuna uhakika maana inawezekano hiyo nayo ndio mweupeeeee!!!
Hazungzii kujua au kutojua lugha, yeye anazungumzia madhara yanayoweza kujitokeza katika nchi changa kama hizi zetu ambazo wananchi wake bado wanathamini sana ukabila
 
Back
Top Bottom