Spot the difference between Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ and the rest of Africa 🌍 including Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

Nyinyi amjapata Uhuru hata sasa ni koloni la mzungu hata waafrika ya kusini wanajua
 
Ndiyo yule muandisi aliye ikimbia jf siku za nyuma [emoji2] [emoji2]
 

La yeye kuwa mkadiriaji ni wewe umeiweka, hamna sehemu amekiri hilo, yeye ni mtaalam hata ukiona anavyojadili mada za kitaalam ni wazi ni muhandisi anayejua kazi yake, tofauti na wewe mzee wa kutupia tupia misamiati ya kukariri, sijaona sehemu yoyote humu JF umejadili au kuchangia chochote cha kitaalam hata siku moja.
 
Sungura aliposhindwa kuyafikia matunda alisema sio matamu, hivo ndivyo mlivyo. Kwa mfano wewe ukienda Ghana utawazungumzia kwa kiswhahili ama kiingereza?
Acha kufikiria kwa unyonge wewe, jiamini na ujikubali, hakuna anayekataa kwamba English sio muhimu, tunachokataa ni ninyi kuthamini zaidi English kuliko Kishwahili ambayo ndio lugha ya Taifa lenu, ninyi mnachukulia English kama dalili ya kustaarabika na kuelimika, hapo ndipo mnapokosea.
 
Sisi tunatumia lugha zetu za asili, kiswahili na kiingereza sasa sijui nini kinakusumbua.

Sent from my 4013D using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunatumia lugha zetu za asili, kiswahili na kiingereza sasa sijui nini kinakusumbua.

Sent from my 4013D using JamiiForums mobile app
Kinachosumbua sio kutumia English, ni kukithamini kiingereza zaidi ya Kishwahili, kwenu mtu asiyejua English mnamuona kama hajaelimika na mnamchukulia ni second class. Kuna dada mmoja anaendesha kipindi cha 10/10 citizen TV hajui kiswahili wakati programme yake ni ya Kiswahili, inakuaje anatapata ajira ktk sehemu za kijamii kama hiyo?, huko ni kudhalilisha nchi yenu.
 

Ahaaa haaa haaa
Who is a quantity surveyor?
Wee unafikiri tunavyomuita bricks and mortar engineer ni siye tulimpa hilo JINA?
Fuatilia ile thread ya ONLY BRT alivyojipambanua KUWA yeye ni QS.

Teh teh teh tihiii
Halafu mimi ni encyclopedic graduateor learned guy, kila sector naongea in deep.
Shida yako ni elimu ndogo uliyo nayo. Badala ya kukazia fikra na uangalifu wako kwenye mada na masomo mazito mazito ninayotoa wewe unafikiria misamiati.
Ahaaa haaa haaa
Lkn wenye mioyo mikunjufu wananielewa mpaka wanashangaa nilivyo na composite discipline niliyo nayo.

Kama bado mlete yule bricks and mortar engineer wako nimmalize kabisa na ka BoQ ka kake.
 
Hizo za asili ndozimesababisha ukabilaπŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe ipi unajua maana Kiswahili chako huwa majanga, Kingereza ndio hukijui, labda lugha yako ya asili japo hatuna uhakika maana inawezekano hiyo nayo ndio mweupeeeee!!!
 
Wewe ipi unajua maana Kiswahili chako huwa majanga, Kingereza ndio hukijui, labda lugha yako ya asili japo hatuna uhakika maana inawezekano hiyo nayo ndio mweupeeeee!!!
Hazungzii kujua au kutojua lugha, yeye anazungumzia madhara yanayoweza kujitokeza katika nchi changa kama hizi zetu ambazo wananchi wake bado wanathamini sana ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…