Kwa hiyo wewe uliambiwa hivyo uka amini!?Ndugu yangu, policy ya Tanzania tangu enzi wa Nyerere ni kwamba lazima Kenya ianguke ili Tz ipae. Ukiambiwa muungano wa kwanza wa Afrika mashariki uliporomoka kwasababu Tusker, bia ya kikenya, ndio walikuwa wanai'serve' ndani ya ndege za East African Airways hutaamini.
Soma historia utajua. Mgogoro wote ulosababisha muungano wa kwanza wa nchi za Afrika mashariki kuporomoka ulianza na Tusker. Wasafiri walikuwa wana'request' wawe served na bia maarufu ya kikenya, Tusker. East African Airways walipoamua ku'stock' Tusker watanzania hawakupendezwa. Baada ya hapo kila mti kwenye msitu ukawa unateleza.Kwa hiyo wewe uliambiwa hivyo uka amini!?
Mimi sijakufukuza, ninakukumbusha kuwa mashida yanayowakumba ni mengi zaidi ya Wakenya na jinsi ya kuyatatua ni kwa njia ya kuzingatia ya kwako zaidi.Kwa hiyo una nifukuza humu!?
Bila Magu kuongea wewe ungejuaje! Hivi Uhuru anavyo shinda kila siku ana enda kulia lia kwa mabepari unategemea anaeza pata ujasiri wa kuongea vitu vizito kama hivi tena yeye mwenyewe akiwa muhusika kuingia hiyo mikataba.
Infact hilo bomba mpaka kufika 30% ni jitihada zake na ubishi wake. I am sure ata wa fustrate mpaka wata legea zaidi. Hivi unajua haya makumpuni yana fanyaga haya mambo kwa siri ila yakija hadhalani kama hivi hua wana act kama angels na kujifanya kushangaa then wana rudi kubadili vifungu kuogopa kuchafua image yao wasije kosa deal zingine na kuhojiwa na mataifa wanayo tokea. Mifano ipo mingi na hii strategy ya Magu ita pay off
Kumbe ndio maana wao hufurahia tukipatwa na janga ama pia kutuombea janga litupate? ila duwa la kuku halimpati mwewe ng'o...Ndugu yangu, policy ya Tanzania tangu enzi wa Nyerere ni kwamba lazima Kenya ianguke ili Tz ipae. Ukiambiwa muungano wa kwanza wa Afrika mashariki uliporomoka kwasababu Tusker, bia ya kikenya, ndio walikuwa wanai'serve' ndani ya ndege za East African Airways hutaamini.
Kenya ndio mchawi wao eti. C.C.M na mbio zao za mwenge ni malaika kutoka mbinguni. Hiyo chorus walikaririshwa zaidi ya madrassa jombaa hata ujaribu vipi hatawaambia lolote.Kumbe ndio maana wao hufurahia tukipatwa na janga ama pia kutuombea janga litupate? ila duwa la kuku halimpati mwewe ng'o...
Sasa lini uliona Magu anaongelea matatizo ya Kenya zaidi ya alivyo kuja Ikulu yenu na kuwa ambia Tatizo la Kenya ni Ukabila mbele ya Uhuru.Mimi sijakufukuza, ninakukumbusha kuwa mashida yanayowakumba ni mengi zaidi ya Wakenya na jinsi ya kuyatatua ni kwa njia ya kuzingatia ya kwako zaidi.
Wewe unaongelea mambo ya Kenya kila siku hata ukilala unaota na Kenya, haikosi pia kwenye ngono unamuita mwenzako Kenya kwa kulizoea hilo jina kwenye akili na kinywa chako...huenda ukaulizwa nchi yako ni gani na kwa bahati mbaya ukajibu Kenya kimakosa.Sasa lini uliona Magu anaongelea matatizo ya Kenya zaidi ya alivyo kuja Ikulu yenu na kuwa ambia Tatizo la Kenya ni Ukabila mbele ya Uhuru.
Wewe ndiyo umeleta hii habari sasa hapo nani anafuatilia ya mwenzie. Raisi wetu alikua anaongea na wanachi wake kuhusu nchi yao.
Kitabu gani hiko!? Vitabu vipo vingi vilivyo andika issue ya collapse ya E.A community. Nakushauri usome vitabu vingi. Kwa akili ya kawaida hiyo sababu yako haina mashikoSoma historia utajua. Mgogoro wote ulosababisha muungano wa kwanza wa nchi za Afrika mashariki kuporomoka ulianza na Tusker. Wasafiri walikuwa wana'request' wawe served na bia maarufu ya kikenya, Tusker. East African Airways walipoamua ku'stock' Tusker watanzania hawakupendezwa. Baada ya hapo kila mti kwenye msitu ukawa unateleza.
30 kilometers... you can't be serious mzee baba. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] iTofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Wewe kila siku unaongelea mambo ya BurundiWewe unaongelea mambo ya Kenya kila siku hata ukilala unaota na Kenya, haikosi pia kwenye ngono unamuita mwenzako Kenya kwa kulizoea hilo jina kwenye akili na kinywa chako...huenda ukaulizwa nchi yako ni gani na kwa bahati mbaya ukajibu Kenya kimakosa.
Note book ya kuandika maneno na shida za LDC tanzagiza?watanzania wote wana take note kile kinachozungumzwa....wakenya wamebaki tu kukodoa mimacho. hakuna hata mmoja mwenye notebook. .labda uhuru kenyatta[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio vitabu tu, memo zipo, transcript za mijadala kuhusu mgogoro wenyewe wa Tusker na E.A. Airways kwenye bunge za Kenya na Uganda pia zipo. Najua wengi wenu hampendi kabisa kusoma kwahivyo usijipe stress.Kitabu gani hiko!? Vitabu vipo vingi vilivyo andika issue ya collapse ya E.A community. Nakushauri usome vitabu vingi. Kwa akili ya kawaida hiyo sababu yako haina mashiko
Mbona unarukaruka kama popcorns! Wewe umesoma wapi hiyo habari?Sio vitabu tu, memo zipo, transcript za mijadala kuhusu mgogoro wenyewe wa Tusker na E.A. Airways kwenye bunge za Kenya na Uganda pia zipo. Najua wengi wenu hampendi kabisa kusoma kwahivyo usijipe stress.
Yani Uhuru alienda china kupiga gumzo kama vijana wa vijiweni. Hahahaha, No wonder he went to ask for "free money" for SGR..Wachina walimcheka
Kwenye website ya TBC.Mbona unarukaruka kama popcorns! Wewe umesoma wapi hiyo habari?
PovuKwenye website ya TBC.