Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.