πππAhaaa haaa haaa
Hivi Uhuru anajitambua KWELI!!? MChina ajenge SGR kwa msaada!!!?
Wakati ile project ina both economic and financial internal rate of return.
Teh teh teh tihiii
Ndicho wakenya walichomtuma KUONGEA.
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Siyo ya inooroKwenye website ya TBC.
hasira hiyo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Note book ya kuandika maneno na shida za LDC tanzagiza?
He was nobody, and we're not sure if he voted, hata kama angepinga, asingeweza zuia chochote.wa
wachina hawapendi kukaa upande wa bendera yao inapokuja suwala la kusaini mikataba na nchi za Africa
Yani mtu mzima afike hapo aanze kuchora chora nyumba, una wazimu weweTofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Mbona una hasira sasa?hasira hiyo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Mbona una hasira sasa?
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.
Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Sasa hii ndio imekukasirisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859023View attachment 859024
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859026View attachment 859027View attachment 859028View attachment 859029
View attachment 859030
unachekesha sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hii ndio imekukasirisha?
Magufuli is genius.Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.
Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.
Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.
Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.
Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Yenu ipi ? Wazungu awawezi kujiibia wenyewe Kenya siyo yenu inawenyeweYetu haina madini yanayoporwa usiku na mchana kama hiyo yako...ukishughulika na yako hutawahi kuja hapa Kenyan Forum kwani utakuwa umepata majibu ya wanayowasumbua kama Watanzania.
Ikakufanya ukasirike?unachekesha sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama vile madini sio yenu ni kina ACACIA?Yenu ipi ? Wazungu awawezi kujiibia wenyewe Kenya siyo yenu inawenyewe