Spot the difference between Tanzania 🇹🇿 and the rest of Africa 🌍 including Kenya 🇰🇪

Ahaaa haaa haaa
Hivi Uhuru anajitambua KWELI!!? MChina ajenge SGR kwa msaada!!!?
Wakati ile project ina both economic and financial internal rate of return.

Teh teh teh tihiii
Ndicho wakenya walichomtuma KUONGEA.
🙂😀😀
 
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.

Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.

Duuuh man umeamuwa kututukana ivi 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Note book ya kuandika maneno na shida za LDC tanzagiza?
images
hasira hiyo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wa

wachina hawapendi kukaa upande wa bendera yao inapokuja suwala la kusaini mikataba na nchi za Africa
He was nobody, and we're not sure if he voted, hata kama angepinga, asingeweza zuia chochote.
 
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.

Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Yani mtu mzima afike hapo aanze kuchora chora nyumba, una wazimu wewe
 
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.

Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
Mbona una hasira sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-09-06-14-35-13-801_com.twitter.android.jpg
IMG_20180906_143603.jpg
 
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.

Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20180906_144034.jpg
IMG_20180906_144018.jpg
IMG_20180906_143957.jpg
IMG_20180906_143942.jpg

IMG_20180906_143930.jpg
 
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Magufuli is genius.
 
Yetu haina madini yanayoporwa usiku na mchana kama hiyo yako...ukishughulika na yako hutawahi kuja hapa Kenyan Forum kwani utakuwa umepata majibu ya wanayowasumbua kama Watanzania.
Yenu ipi ? Wazungu awawezi kujiibia wenyewe Kenya siyo yenu inawenyewe
 
Back
Top Bottom