Spot the difference between Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ and the rest of Africa ๐ŸŒ including Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

mulisaaa kiswahili ni lugha ya taifa, ndio. Ila sio lugha yako. Huwa naona unavokitia najis humu kila uchao hadi najiuliza maswali mengi. Eti 'arianza kuriaria huku akitumia mlija kunywa uji kama mtu ariye rahaniwa. [emoji1]
 
sasa kama kiswahili ni "chenyu" mbona your accent sounds very ugly as if you are foreigners from far east?. why is your kiswahili not sweet. [emoji23][emoji23]

exclude my my brother and sisters from mombasa.
 
Kiufupi Kiswahili ni lugha ya Africa. English itabaki kuwa ya mkoloni. Tukuzeni Kingereza mchina anawachora ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tanzania katoa grant Kenya amewakatalia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ think twice๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
sasa kama kiswahili ni "chenyu" mbona your accent sounds very ugly as if you are foreigners from far east?. why is your kiswahili not sweet. [emoji23][emoji23]

exclude my my brother and sisters from mombasa.
Kenya hawajui Kiswahili.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kingereza pia chakuunga. Sijui tuwaweke kundi gani
 
Somali students learning swahili using Kenyan books

American students singing Kenyaโ€™s beautiful national anthem in Swahili- all 3 stanzas

Google translator , Facebook, Android,windows 10... all the Swahili translation done by Kenyans!!!

Kumbe mnajua swahili ni international language from Africa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
sasa kama kiswahili ni "chenyu" mbona your accent sounds very ugly as if you are foreigners from far east?. why is your kiswahili not sweet. [emoji23][emoji23]

exclude my my brother and sisters from mombasa.
Sio kupenda kwetu, kule kwetu chato inakuwaga ni full kisukuma 24/7! ๐Ÿ˜Ž
 
Hizo billions ni zile pesa madafu zenu au ni currency IPI.
swali lako tayari nimelifafanua kiufundi hapa chini wakati namuelimisha mwasiti.
jumuikanaye katika kujipatia elimu.
Pesa kidogo sana can you convert thta to Kshs uone vile wewe ni mjinga.
i'm not a good mathematician, but i will try my best to show you what tsh90 billion will do for kenya.
mwishoni tutajua kati ya wewe na mimi nani mjinga. twenda hatua kwa hatua.

if tsh 90,000,000,000 billion is converted to kenyan shilling equals to ksh 3,960,240,322.50.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859188

kenya is very corrupt but if corruption is not involved it can cost not less than ksh 20,000,000 per kilometer to build a standard tarmac road in kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859189

therefore if ksh 3,960,240,322 is divided by ksh 20,000,000 equals to 198.0120161

View attachment 859190

Conclusion:
tsh 90,000,000,000 billion can build 198 kilometers of tarmac road in any county in kenya.

mpaka hapo nadhani tayari umeshajijua kuwa wewe ni kilaza. nauliza hivi kwenye vyuo vyenu huwa mnasomea ujinga?.

nasubiri povu..ruksa kutoa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bilioni tatu za Kenya, yaani mahangaiko yote hayo mlifuata 3b Kshs, hehehe tell me you're joking.
 
but zinaweza kujenga kilomita 198 za barabara za lami huko kenya mashinani kwenye counties.

au hujui kwamba kenya mashinani kuna shida ya barabara?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Screenshot_2018-09-06-20-56-54-535_com.twitter.android.jpg
IMG_20180906_205649.jpg
IMG_20180906_205646.jpg
Screenshot_2018-09-06-20-56-54-535_com.twitter.android.jpg
 
Dude, 90 Billion tzs ni only $40 Million(if you rounded off to the next million).... Hio30 km highway intacost almost $600m ....

Tena dili za barabara nyengine za km zaidi ya 150 zimetiwa saini under PPP

North Eastern gets 140km roads under annuity programme ยป Capital News
tayari nilisha fafanua hapa chini wakati namuekimisha mwasiti.
Pesa kidogo sana can you convert thta to Kshs uone vile wewe ni mjinga.

i'm not a good mathematician, but i will try my best to show you what tsh90 billion will do for kenya.
mwishoni tutajua kati ya wewe na mimi nani mjinga. twenda hatua kwa hatua.

if tsh 90,000,000,000 billion is converted to kenyan shilling equals to ksh 3,960,240,322.50.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859188

kenya is very corrupt but if corruption is not involved it can cost not less than ksh 20,000,000 per kilometer to build a standard tarmac road in kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859189

therefore if ksh 3,960,240,322 is divided by ksh 20,000,000 equals to 198.0120161
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859190

Conclusion:
tsh 90,000,000,000 billion can build 198 kilometers of tarmac road in any county in kenya.

mpaka hapo nadhani tayari umeshajijua kuwa wewe ni kilaza. nauliza hivi kwenye vyuo vyenu huwa mnasomea ujinga?.

nasubiri povu..ruksa kutoa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Soma historia utajua. Mgogoro wote ulosababisha muungano wa kwanza wa nchi za Afrika mashariki kuporomoka ulianza na Tusker. Wasafiri walikuwa wana'request' wawe served na bia maarufu ya kikenya, Tusker. East African Airways walipoamua ku'stock' Tusker watanzania hawakupendezwa. Baada ya hapo kila mti kwenye msitu ukawa unateleza.
Acha kutoa argument za kitoto wewe, tulitofautiana pale Kenya mlipopata uhuru wenu miaka miwili baada ya Tanzania kupata Uhuru na kuikuta tayari Tanzania inafuata misingi ya Ujamaa na ninyi mkaamua kufuata uchumi wa Kibepari. Mlipoanza kuwaua akina Tom Mboya na wanasiasa wengine, Nyerere akaona hawa sio binadamu wa kushirikiana nao, alipopinduliwa Obote ndio pakawa hakuna mtu ambaye anaweza kuwa level moja na Nyerere.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mimi sijakufukuza, ninakukumbusha kuwa mashida yanayowakumba ni mengi zaidi ya Wakenya na jinsi ya kuyatatua ni kwa njia ya kuzingatia ya kwako zaidi.
Kichekesho cha mwaka hiki, eti Tanzania inashida zaidi ya Kenya [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bilioni tatu za Kenya, yaani mahangaiko yote hayo mlifuata 3b Kshs, hehehe tell me you're joking.
It's a grant๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚No loan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Acha kutoa argument za kitoto wewe, tulitofautiana pale Kenya mlipopata uhuru wenu miaka miwili baada ya Tanzania kupata Uhuru na kuikuta tayari Tanzania inafuata misingi ya Ujamaa na ninyi mkaamua kufuata uchumi wa Kibepari. Mlipoanza kuwaua akina Tom Mboya na wanasiasa wengine, Nyerere akaona hawa sio binadamu wa kushirikiana nao, alipopinduliwa Obote ndio pakawa hakuna mtu ambaye anaweza kuwa level moja na Nyerere.
Unatumia nguvu nyingi sana kutupia pumba. Hata hujui mwaka ambao Tom Mboya aliuawa na kwamba muungano wa awali kabisa wa nchi za Afrika mashariki, ulikuwa baina ya Kenya na Uganda, mwaka wa 1917 na Tanganyika ikaingia miaka kumi baadaye, 1927. Yaani yote yalikuwa chini ya mipango ya mkoloni.
 
Back
Top Bottom