Spot the difference between Tanzania 🇹🇿 and the rest of Africa 🌍 including Kenya 🇰🇪

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
DmUxj8sWwAIvAJb.jpg
IMG_20180906_083556_189.jpg
DmUxj8wX0AEw9eC.jpg
DmUxj8sW4AA7rYZ.jpg
DmUxj8rXgAAggSv.jpg
 
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
 
Hiyo ni nchî inayo jitambua na kùpambana na mabepari ambao asili yao ni kupora mali za masikini na kujitajirisha. Kenya ilichagua ubepari na kulinda mabepari wadhulumu ardhi ya wakenya masikini, Uhuru hana uwezo hata kutaja mabepari wametudhulumu
 
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Akheri sisi tunaokiri makosa, yani kwa hii kauli nimemuheshimu zaidi. Bado kuna mambo yakurekebisha.
 
Sad lakin bora anatuambia ukwel,Jk hakuwahi kusema ukweli juu ya hili na kwann alikubali mikataba ya kijinga namna Iyo, inakera sana man,Hawa wazungu ni watu wa hatari sana kwa Africa hatujui tu
 
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Kwani Lokichar inachimbwa na nani kama sio hao mabepari? Unafikiri wakati mkiuza hayo mafuta yenu hao waliofanya exploration na drilling hawatakua na percentage kubwa kwenye stakes za hayo mafuta?

Hakuna cha ajabu hapo sema tu Tanzania tuliiingia nao kwa njia ya kifisadi zaidi ila all in all still gas ni yetu.
 
Tofauti ni kwamba Waswahili mumebeba makalamu na madaftari ya kuzuga tu, utakuta kwenye kikao mtu kachora chora nyumba na vikatuni huku amekunja uso utadhani yuko serious na makini vinoma, maana haiingii akilini kwa zuga zote hizo mliambulia Mchina kuja kuwasaidia kuvua samaki. Wakati wa kwetu bila zuga za makaratasi lakini wakachomoka na deals kali kali.

Hebu angalia gesi hadi rais mwenyewe amekiri mnaliwa tu, mlitia saini wazembe wa kusoma. Ukitaka kumficha Mtanzania chochote, kitie kwenye vitabu.
 
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua.

Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia nyingine zilizo baki zikienda kwa mabepari.

Amesema pia kuwa aliamua kupambana yeye kama yeye kupata fedha kwa ajili ya kujenga Stigler's Gauge ambao ni mradi wa umeme mwingi ili kukwepa matumizi ya gesi asilia kutoka Mtwara kwa kuwa tayari gesi wakubwa wamegawana tayari.

Pia ameongeza kuwa Uranium iliyoko Mkoa wa Ruvuma haiwezi kutumika kwa manufaa ya Taifa kwa kuwa tayari nayo wakubwa washaigawana kwa kuwa tu waliivumbua wao katika tafiti, na hata kama akisema serikali itumie fedha kuinunua bado wataigomea.

Kauli hii ya Rais Magufuli imethibitisha kauli ya Dr Wilbrod Slaa aliyoitoa mjini Iringa mwaka 2014 kuwa " Tunaambiwa mabomba ya gesi ya Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu."

Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru - JamiiForums
Wewe hujui sasa ukiona anaongea hivyo ujue amesha wabwatukia sana mabepari na kufurumusha walio fanya huo ujinga. Hamna raisi anaeweza kuongea hivi Africa ingawa rasilimali zote Africa zinavunwa kwa style hii. Mabepari wameshindwa kumweka mfukoni ndiyo maana alisha badili sheria husika na amewaita waje mezani terms zibadilishwe ambao walisha sign.
Kunavitu vya kupinga ila hili wakenya mnge msifu Magu naku msukuma Uhuru achukue hatua na yeye. Mabepari hawajawahi kua na nia nzuri na Africa.
 
Alikuwa kwa hiyo hiyo Serikali.
Hii siyo hoja.. leo umepewa ukurugenzi utashindwa kufanya mabadiliko kwa kuwa ulikuwepo chini ya mkurugenzi aliye pita!? Kwenye maeneo ya kazi watu wengi wanatofautiana na mbinu za ma boss wao ila wana tekeleza majukumu ili siku ziende malengo yakiwa kufika juu na ku implement ideas zao. African ambae ana uchungu wa rasilimali zake hawezi mcheka Magufuli kwa hili. Inapaswa usikitike na ujiulize serikali yako imechukua hatua gani.
 
Kwani Lokichar inachimbwa na nani kama sio hao mabepari? Unafikiri wakati mkiuza hayo mafuta yenu hao waliofanya exploration na drilling hawatakua na percentage kubwa kwenye stakes za hayo mafuta?

Hakuna cha ajabu hapo sema tu Tanzania tuliiingia nao kwa njia ya kifisadi zaidi ila all in all still gas ni yetu.
Kwa hivo lazima ulinganishe masiabu yenu na ya Kenya? mbona huwa hamjiamini ama you still feel inferior and intimidated by Kenyans?
Wewe hujui sasa ukiona anaongea hivyo ujue amesha wabwatukia sana mabepari na kufurumusha walio fanya huo ujinga. Hamna raisi anaeweza kuongea hivi Africa ingawa rasilimali zote Africa zinavunwa kwa style hii. Mabepari wameshindwa kumweka mfukoni ndiyo maana alisha badili sheria husika na amewaita waje mezani terms zibadilishwe ambao walisha sign.
Kunavitu vya kupinga ila hili wakenya mnge msifu Magu naku msukuma Uhuru achukue hatua na yeye. Mabepari hawajawahi kua na nia nzuri na Africa.
Enzi za kuwasifia marais ni za 80s, bado naona akili zenu zipo huko hata uchumi wenu ni wa 80s LDC nyinyi.
 
Hii siyo hoja.. leo umepewa ukurugenzi utashindwa kufanya mabadiliko kwa kuwa ulikuwepo chini ya mkurugenzi aliye pita!? Kwenye maeneo ya kazi watu wengi wanatofautiana na mbinu za ma boss wao ila wana tekeleza majukumu ili siku ziende malengo yakiwa kufika juu na ku implement ideas zao. African ambae ana uchungu wa rasilimali zake hawezi mcheka Magufuli kwa hili. Inapaswa usikitike na ujiulize serikali yako imechukua hatua gani.
Yetu haina madini yanayoporwa usiku na mchana kama hiyo yako...ukishughulika na yako hutawahi kuja hapa Kenyan Forum kwani utakuwa umepata majibu ya wanayowasumbua kama Watanzania.
 
Kwa hivo lazima ulinganishe masiabu yenu na ya Kenya? mbona huwa hamjiamini ama you still feel inferior and intimidated by Kenyans?

Enzi za kuwasifia marais ni za 80s, bado naona akili zenu zipo huko hata uchumi wenu ni wa 80s LDC nyinyi.
Okay.. sasa mbona kila kitu wewe unamsifia Uhuru!? Tutakua ni viumbe wa ajabu kama atupeani moyo sisi niku ponda tu kwa kisingizio zama za kutoa credit zime pita.
 
Kama wapi? Can you show me please.
 
Yetu haina madini yanayoporwa usiku na mchana kama hiyo yako...ukishughulika na yako hutawahi kuja hapa Kenyan Forum kwani utakuwa umepata majibu ya wanayowasumbua kama Watanzania.
Kwa hiyo una nifukuza humu!?
Bila Magu kuongea wewe ungejuaje! Hivi Uhuru anavyo shinda kila siku ana enda kulia lia kwa mabepari unategemea anaeza pata ujasiri wa kuongea vitu vizito kama hivi tena yeye mwenyewe akiwa muhusika kuingia hiyo mikataba.
Infact hilo bomba mpaka kufika 30% ni jitihada zake na ubishi wake. I am sure ata wa fustrate mpaka wata legea zaidi. Hivi unajua haya makumpuni yana fanyaga haya mambo kwa siri ila yakija hadhalani kama hivi hua wana act kama angels na kujifanya kushangaa then wana rudi kubadili vifungu kuogopa kuchafua image yao wasije kosa deal zingine na kuhojiwa na mataifa wanayo tokea. Mifano ipo mingi na hii strategy ya Magu ita pay off
 
Yetu haina madini yanayoporwa usiku na mchana kama hiyo yako...ukishughulika na yako hutawahi kuja hapa Kenyan Forum kwani utakuwa umepata majibu ya wanayowasumbua kama Watanzania.
Ndugu yangu, policy ya Tanzania tangu enzi za Nyerere ilikuwa ni kwamba lazima Kenya ianguke ili Tz ipae. Ukiambiwa muungano wa kwanza wa Afrika mashariki uliporomoka kwasababu Tusker, bia ya kikenya, ndio ilikuwa inapewa wasafiri ndani ya ndege za East African Airways hutaamini.
 
Back
Top Bottom