Spot The Difference/Tofauti Kati Ya Ulinzi Wa Rais U.Kenyatta Na Wa Jiwe(rais wa watu)

Spot The Difference/Tofauti Kati Ya Ulinzi Wa Rais U.Kenyatta Na Wa Jiwe(rais wa watu)

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
C-veHl8WsAEqR3Z.jpg
DnKisiiUhuru2804rz.jpg
pic-magufuli-jpg.533909
fb_img_1500545818469-jpg.546538
Maskini rais wa watu, itakuwa kapokea tishio la kweli kutoka kwa kikundi haramu cha kigaidi, alshabaab.
 
So? Is it a crime to protect our Presidaa? BTW his convoy usual has a drone ahead to cordon the area via satelite pictures aside that special vehicle that can neutralize IEDs!
Mabomu ya panyaroad? Angekuwa C.In C. wa majeshi ambayo yapo vitani na magaidi Somalia siangejichimbia handaki?
 
Aiseee!, hivi aliyejaribu kumtanguliza lissu mbele za haki kabla ya muda wake alikamatwa eeh?[emoji28]
Sept-11-17-Magufuli-And-The-Opposition-1024x724.jpg
 
duuu sijui wale waliomuwahisha kijana MUSANDO, wamekamatwa?
Ndio mkakataa kulipa bill ya hospitali ya mwanasheria wenu Lissu? Nilidhani wapenda amani ni nyie, ila mlivobobea kwa roho mbaya inatisha kweli kweli.
 
Kwahivyo rais Uhuru Kenyatta ndio huwa anatembea 'offroad'? Akili zako zimevurugwa sio bure.
Yes safari za nje ya Nairobi mara anatembelea Kenya Airforce akienda Northern Kenya! Angalia alipoenda Wajir Tala,Turkana, Nyeri and Busia!









 
Kwahiyo mnata awe na ulinzi kama wa kenyatta au huo ulinzi mnataka uwe wa mbowe?
 
Rais wa wananchi ni uhuru aisee, hata ukimuangalia tu anaonekana ni big brain
Kweli watanzania wanafiki.
Leo mnaona Uhuru ni malaika kuzidi Magufuli?
Uhuru huyu huyu wa Kenya?

Hivi umesahau hata hili moja alilofanya Uhuru ilimradi serikali yake ibakie madarakani.

Meneja wa tume ya uchaguzi aliyetoweka Kenya apatikana amefariki - BBC Swahili
Meneja wa tume ya uchaguzi apatikana amefariki Kenya
 
Back
Top Bottom