eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ndio mkakataa kulipa bill ya hospitali ya mwanasheria wenu Lissu? Nilidhani wapenda amani ni nyie, ila mlivobobea kwa roho mbaya inatisha kweli kweli.
kwa hilo mimi si msemaji.
lkn jibuni swali la kupora uhai wa kijana m'bichi MUSANDO, ambaye ameacha watoto wadogo na mjane m'bichi kabisa, wauaji wamekamatwa!!!??