Spot The Difference/Tofauti Kati Ya Ulinzi Wa Rais U.Kenyatta Na Wa Jiwe(rais wa watu)

Spot The Difference/Tofauti Kati Ya Ulinzi Wa Rais U.Kenyatta Na Wa Jiwe(rais wa watu)

Magufuli ana paranoia...
Anajifanya ana maadui wengi kwa kile anachoita kua ana pambana na majizi na mafisadi.

Niwe mkweli tu hata kama anaonekana yupo heavily guarded bado hiyo security ni ya ovyo.
Hiyo paranoia ndio chanzo cha kila kitu. Kidogo kidogo utasikia watu wanatupwa korokoroni kwa mambo madogo kama kutokubaliana kisiasa.
 
CROWD-MOTORCADE.jpg
Kobello kama umeona picha hii ukafikiria tu mambo ya bar nakushauri uwe unabugia maziwa. Hizo hangover za asubuhi asubuhi zitakumaliza. [emoji1]
 
rais mwenye umuhimu kwenye taifa lazima alindwe kwa ulinzi mkali, sio hao mnaopiga nao selfie huku fedha za umma zinagawanwa na marafiki zake.

JPM ni rais bora na lazima alindwe ipasavyo.
hiyo ni dalili ya kutopendwa... kumbe hujui....
 
Ngoja uchaguzi utakapowadia utaona atakavobadilika. Unachokiona sasa hivi kwa kimombo wanasema ni signs of changing times. Kuna mtu kalewa chakari kwasababu ya madaraka.
Wewe hamna kitu unajua kuhusu Tz wala Magufuli, kaa pembeni chanja mirungi. This is next level buda boss.
 
Ngoja uchaguzi utakapowadia utaona atakavobadilika. Unachokiona sasa hivi kwa kimombo wanasema ni signs of changing times. Kuna mtu kalewa chakari kwasababu ya madaraka.
Magufuli hajawahi kubadilika katika uongozi wake Tangu akiwa waziri, ni mkali vilevile na anafuata sheria haijalishi uchaguzi wala siku za kawaida.
 
Magufuli hajawahi kubadilika katika uongozi wake Tangu akiwa waziri, ni mkali vilevile na anafuata sheria haijalishi uchaguzi wala siku za kawaida.
Umesahau juzi juzi tu alivokuwa akipiga push-up mbele ya umati? [emoji1] Sasa hivi pumzi ndio zimemuishia au kunaendaje?
 
Back
Top Bottom