Ndio mkakataa kulipa bill ya hospitali ya mwanasheria wenu Lissu? Nilidhani wapenda amani ni nyie, ila mlivobobea kwa roho mbaya inatisha kweli kweli.
Acha watu watoe maoni yao na wewe toa maoni yakoKweli watanzania wanafiki.
Leo mnaona Uhuru ni malaika kuzidi Magufuli?
Uhuru huyu huyu wa Kenya?
Hivi umesahau hata hili moja alilofanya Uhuru ilimradi serikali yake ibakie madarakani.
Meneja wa tume ya uchaguzi aliyetoweka Kenya apatikana amefariki - BBC Swahili
Meneja wa tume ya uchaguzi apatikana amefariki Kenya
Yes safari za nje ya Nairobi mara anatembelea Kenya Airforce akienda Northern Kenya! Angalia alipoenda Wajir Tala,Turkana, Nyeri and Busia!
Hayo niliyotoa ni maoni yangu pia.Acha watu watoe maoni yao na wewe toa maoni yako
One in a hundred tena that was a promotional tour! On most cases he uses Kenya Air force chopper whereas JPM prefers travelling on roads except in few urgently occasions.Umesahau na hii, mlivomlaki U.K alipowasili Arusha na hilo hilo gari hapo. Najua utageuza sasa useme Magufuli huwa anaenda BY FOOT. [emoji1]
JPM is an enemy of very powerful European Companies, His security is paramount due to the nature of work he is doing.Umesahau na hii, mlivomlaki U.K alipowasili Arusha na hilo hilo gari hapo. Najua utageuza sasa useme Jiwe huwa anaenda BY FOOT. [emoji1]
Basi koma kunizoea wewe mama tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea, mimi nina mkeHayo niliyotoa ni maoni yangu pia.
Simu yangu, bundle langu hunipangii cha kuandika, cha msingi nisivunje sheria tu
Exactly! Most sane comment I have seen so far. Kuna watu hawajaona hadi sasa hivi kwamba U.K pia ana security detail very effective. Concealed weapons, plain cloth, na wanablend vizuri sana na umati. Mbwembwe zingine ni za kishamba tu! Yes, I said it! 😎Generally members of the presidents security detail are supposed to blend in with the local populace.That's why its a bit hard to distinguish btwn members of the of Uhurus security detail and the general public .also look at various presidents security details around the world .
Nina hakika mwanaume hatoi comment kama hii.Basi koma kunizoea wewe mama tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea, mimi nina mke
Nina hakika mwanaume hatoi comment kama hii.
Ukijitahidi sana utakua ni marioo au unakaa kwa shemeji yako hapo Dsm.
Kuheshimu mawazo ya wenzako ndio demokrasia yenyewe.
[emoji15][emoji15][emoji15] This nigga out of his mind!One in a hundred tena that was a promotional tour! On most cases he uses Kenya Air force chopper whereas JPM prefers travelling on roads except in few urgently occasions.
Kweli watanzania wanafiki.
Leo mnaona Uhuru ni malaika kuzidi Magufuli?
Uhuru huyu huyu wa Kenya?
Hivi umesahau hata hili moja alilofanya Uhuru ilimradi serikali yake ibakie madarakani.
Meneja wa tume ya uchaguzi aliyetoweka Kenya apatikana amefariki - BBC Swahili
Meneja wa tume ya uchaguzi apatikana amefariki Kenya
Watu wanasahau mapema sana.Ahaaa haaa haaa
watu wepesi wa kusahau. hapo hujawajumuisha wale mashahidi wa ile kesi yao Uhuru na Ruto kule the Hague.
Maskin Uhuru kenyatta amezoeana na wavuta bangi na walev kama yeye ndiyo maana inchi inaufisadi wakutosha na haitaji ulinzi wowote kwasababu yeye ni jambazi kuu.
[emoji1][emoji1][emoji1]Tz kungkuwa na tishio rais angetembea ndani ya chupa.
Ngoja uchaguzi utakapowadia utaona atakavobadilika. Unachokiona sasa hivi kwa kimombo wanasema ni signs of changing times. Kuna mtu kalewa chakari kwasababu ya madaraka.Sasa Raisi fisadi nani atahangaika nae[emoji23] si kila MTU atakua rafiki yake, Magufuli hazoeleki wala hana u rafiki na MTU.
Alikuwa anatoka Bar?Umesahau na hii, mlivomlaki U.K alipowasili Arusha na hilo hilo gari hapo. Najua utageuza sasa useme Jiwe huwa anaenda BY FOOT. [emoji1]