mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
IKO VIZURI MKUUHivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo?
Spotify ni hatari hii unaweza kustream nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza kutengeneza playlist zaidi ya moja ukasikiluza nyimbo uzitakazo wewe
Ni ya mbele hii sio ya waswahiliLipia tangazo
Boom ni nyimbo za Afrika sana sana haina nyimbo nyingi kama hiiBoom player nayo viipi.
sema mkuu nakumbuka nilikuwa natumia na vpn ,sasa hivi bongo ishasajiliwa?Hivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo?
Spotify ni hatari hii unaweza kustream nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza kutengeneza playlist zaidi ya moja ukasikiluza nyimbo uzitakazo wewe
Tumia VPN master ndio ambayo me natumia mpk kesho kutwasema mkuu nakumbuka nilikuwa natumia na vpn ,sasa hivi bongo ishasajiliwa?
Bado haipo efficient kama hii, trust me hii ndio ambyo Beyonce anatumia ni nomaNgoja niipakue kwanza halafu nije! Vipi kuhusu Deezer app lakini?
Download kwa google andika download spotifyIna logo gani Mkuu maana huko playstore naona Spotify mingimingi hivi!
nahisi haitachukua muda east africa itafika kama south mwezi wa tatu walilaunch,hatutokuwa na haja ya kuangaika na vpnDownload kwa google andika download spotify
Ina logo gani Mkuu maana huko playstore naona Spotify mingimingi hivi!
Unoma wake uko wapi??..Bongo haifunguki,ulitumia vpn au?Bado haipo efficient kama hii, trust me hii ndio ambyo Beyonce anatumia ni noma
Itakuwa..nyimbo yenye quality nzuri kustream sio mchezoYaaani 5-10mb io kustream nyimbo 1 ama
Mbn kichwa kigumu nimkuambia idownload kwa google, sio playstore search google spotifyUnoma wake uko wapi??..Bongo haifunguki,ulitumia vpn au?