mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Hivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo?
Spotify ni hatari hii unaweza kustream playlist ya nyimbo hata 100, nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza kutengeneza playlist zaidi ya moja ukasikiluza nyimbo uzitakazo wewe