Spotify. Hii app ni Noma

Spotify. Hii app ni Noma

Hivi kuna watu bado wananunua memory card na kujaza simu kwa kudownload nyimbo?

Spotify ni hatari hii unaweza kustream nyimbo mpya kwa mb 5 mpk 10, unaweza kutengeneza playlist zaidi ya moja ukasikiluza nyimbo uzitakazo wewe
sema mkuu nakumbuka nilikuwa natumia na vpn ,sasa hivi bongo ishasajiliwa?
 
Hii App hauidownload kwa google play kwasababu inarestriction kwa nchi zingine tofauti na canada na Us. Hii app idownload google hlf install kwa kuaccept/accept setting za kuallow kuinstall app zingn unazodowmload tofauti na playstore. Yani ukiwa unaistall hii app simu yako itakutahadhalisha hlfu wewe uta-ALLOW app not from playstore.

Kisha download VPN master playstore, kisha iset isome USA hlf iwashe.

Kisha fungu Spotify jisajiri kawaida na log in. Ikikubali zima VPN
 
Ina logo gani Mkuu maana huko playstore naona Spotify mingimingi hivi!
spotify-icon-ios.jpg
 
Back
Top Bottom