Spotify vs boomplay

Spotify vs boomplay

Kama unatumia Android, download Spotify Premium Mod APK. Hapo utapata Premium features zote bila kulipia.

Mimi natumia Spotify Lite Premium.
View attachment 2820103
Ni njia nzuri lakini utamiss one feature ya offline listening kwakuwa hiyo ni cloud based hawezi kuwa included kwenye MODS APK's

Options za Music its better una Download and listen online.

Tumia website 🔗Free MP3 Download - Free 320kbps MP3 and FLAC Downloads
  • search nyimbo yoyote (see screenshot ya kwanza)
  • download Oto Music Player (Android) VLC (iOS)
  • load miziki uliyodownload (profit no ads) Enjoy!

Binafsi natumia hizi options on all my devices PC, Android and iphone.
 
Attachments

  • Screenshot_20231126-202117.png
    Screenshot_20231126-202117.png
    74.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20231126-202141.png
    Screenshot_20231126-202141.png
    132.7 KB · Views: 13
Ni njia nzuri lakini utamiss one feature ya offline listening kwakuwa hiyo ni cloud based hawezi kuwa included kwenye MODS APK's

Options za Music its better una Download and listen online.

Tumia website 🔗Free MP3 Download - Free 320kbps MP3 and FLAC Downloads
  • search nyimbo yoyote (see screenshot ya kwanza)
  • download Oto Music Player (Android) VLC (iOS)
  • load miziki uliyodownload (profit no ads) Enjoy!

Binafsi natumia hizi options on all my devices PC, Android and iphone.
Oto Music naikubali sana ndiyo naitumia hapa. Ni kweli muziki ni muhimu kuwa nao offline. Huwa natumia Deezer (Telegram BOT) kushusha 320kbps audios, quality yao ni nzuri sana. Spotify huwa ni maalumu kwa kusikilza nyimbo mpya, podcasts na kutunza Playlist zangu.

Asante kwa ku-share hiyo website ipo vizuri.
InShot_20231127_022246450.jpg
 
View attachment 2826260
Ideally, website ni kwa wale ambao hawapo Telegram ila kama upo kule ndo 🏴‍☠️ heaven (bots, channels, groups etcs...)
 
Back
Top Bottom