Spray gani nzuri ya kiume

Blue 4men,uhakika mwilini masaa24 kwa Tsh30,000/= tu,nimekuwa natamani kuibadilisha but sijaweza kujua mbadala wake.kingine kwenye hizi perfumes,mwenzako anaweza akaitumia aina hii ikamkubali sana but wewe ukachukua brand ileile ukaitumia ukanukia kitu cha ajabu.
 
Word. Mkuu hebu gawa hayo maujanja, tunapataje madude ya ukweli kwa bei nafuu? i hate buying an item at a higher price while i could get same at lower price
 
asanten sana wakuu nimesoma perfume na spray zote ni muda wa kuzitafuta
 
Word. Kama SH Amon anawapiga sana watu. Niliwahi kuona dukani kwake shower gel za 1lt. kutoka Nivea, FA n.k., anauza TZS 40,000!!! Yaani hizi ni USD 6-7.

Mtoa mada kuna body spray nzuri tu za bei nafuu za Nivea, Rexona, Brut, Old Spice, Gillette n.k. Hizi zinafaa kwa matumizi ya kila siku. Nunua hizo za bei mbaya kwa kutumia special occasions tu. Ila kama mfuko uko vizuri, then go for them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…